Pole sana mkuu nilikuwa hapa Ismani kwa muda napo hali ni mbaya jua linawaka vibaya sana ingawa mvua ilianza vizuri na mazao yalikuwa mazuri sana kama wiki tatu zilizopita lakini jua limeibuka kwa kasi kubwa kiasi cha kutia hofu wakulima na kama isiponyesha wiki 2 zijazo hali itakuwa dhoofu sana kwa mahindi yale madogo yamejisokota kama vitunguu na yale yalipandwa mapema yaliyokuwa yanakaribia kutoa mbelewele hali itakuwa mbaya zaidi. Kweli tumwombe Mwenyezi Mungu Subuhana wa taalah abadilishe hali hii.Dua zenu jamani mvua inyeshe Kiteto tunaelekea wiki ya sita sasa, mazao tuliyopanda yameanza kuchoka
Sina shaka na Mungu ila maombi muhimu..
Sasa watafanyaje wakati hakuna mito huko? Hata kama kuna mito ukigusa watakwambia unaharibu mazingira na pia utapunguza maji kwaajili ya kuzalisha umememimi kutegemea kilimo cha kuangalia mawingu ndio nilishakataa kabisa. sasa hivi hapo watu matumbo joto shida yote ya nini.poleni
pole yaoSasa watafanyaje wakati hakuna mito huko? Hata kama kuna mito ukigusa watakwambia unaharibu mazingira na pia utapunguza maji kwaajili ya kuzalisha umeme
Tatizo maji hayatoshelezi kumwagilia nchi nzima, palipo na maji ya kumwagilia hakuna mitaji ya vitendea kazi.Kutegemea mvua za msimu ni tatizo..
mimi kutegemea kilimo cha kuangalia mawingu ndio nilishakataa kabisa. sasa hivi hapo watu matumbo joto shida yote ya nini.poleni
Ndiyo maana mimi na kilimo hasa cha msimu sitaki mazoea nacho..!Dua zenu jamani mvua inyeshe Kiteto tunaelekea wiki ya sita sasa, mazao tuliyopanda yameanza kuchoka
Sina shaka na Mungu ila maombi muhimu..
ha ha haaaa,watu mmechokaAsante mweshimiwa rais kwa kuleta jua..