Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Je, unataka kuwa masikini? Je, unataka kuwa fukara? Basi hapa umepata suluhisho. Cha kufanya fuata haya maelekezo na utakua masikini na fukara moja kwa moja 1. Kuwa mvivu. Uvivu ni tiketi moja...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa Mzee ambaye naishi nae jirani tu amefikia hatua ya kuchoshwa na tabia ya Mwanae wa Kiume ambayo ni ya Kuiba kisha anamtia aibu na hasara kila mara kwenda...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa Tanzania huduma kwa waliokuwa wanatumia madawa ya kulevya kupitia tiba mbadala ya methadone zimefika clinic 6 sasa ukianza na ya Muhimbili hosp,Mwananyamala hosp,Temeke hosp,Zanzibar - Mnazi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna jamaa mmoja alikuja hapa anaumwa mpaka anatamani kufa. Nikasoma comments nyingi zilizojaa mizaha kwa watu wasio na uelewa na shida inayomsibu mwenzetu. Ili kuwa na personal interaction and to...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Dar es Salaam is the only East African city with a bus rapid transit system. It is a model for so many African cities that are growing at an intense pace, but don't have the kind of money they...
0 Reactions
1 Replies
727 Views
Dstv wameibuka na mtindo wa kutembea na madishi mtaani kuuza. Jana nikakutana na mdada kachoka kaweka lile liungo chini akiliangalia tu, kuweni na huruma, mdada kutembea siku nzima kabeba liungo...
22 Reactions
91 Replies
11K Views
Wakuu .yaan ushinde mil 20 af usistaajab na kupagawa,haiwezekan,.. Yaan washind wooote wa3 wapigiwe sim waambiwe umeshinda mil20,af waitikie tuu okay nashkuru?kwel inaingia akilin hii...dah,..nmekubal
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Baraza la watu watu wanaoishi na Virusi vya Ukimwi, Katika halmashauri ya Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe wameliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kutunga Sheria itakayopelekea watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
nimeangalia tv jana na kuona mkuu wa wilaya ya tunduru akijisifu visima vya maji vinavyochimbwa kwa gharama ya milioni 37( visima sio kisima) sio chini ya kumi. Tena wananchi wanavisubiri kwa...
3 Reactions
1 Replies
968 Views
Siwezi kuanza kuelezea hapa bila ya Kwanza kumpongeza huyu Dada Mange Kimambi ( Mghaibuni Mpinzani ) hasa kwa jinsi anavyoitenda haki sifa ya kuwa a Whistle blower kwa mambo ya ki hovyo hovyo...
23 Reactions
196 Replies
22K Views
Wakuu salama? Katika maisha kuna misukumo na changamoto nyingi sana ambazo hutuandama sisi wanadamu, ni kawaida sana kwenye jamii zetu ukaonyeshwa mtu aliyechoka kiafya kwa ulevi wa kupindukia na...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani hali sio hali kitaani,kuna Ndugu zetu wengi sijawatembelea au kuwasiliana nao kwa muda mreefu Karibu mwaka sasa,atmosphere iliyokuweko miaka mitatu nyuma ni tafauti kabisa! Vile vikao vya...
1 Reactions
3 Replies
649 Views
Wanajamvi, TCRA wiki iliyopita iliandaa semina fupi jinsi ya kuanzisha mitaala ya kufundisha ufundi wa simu, hili kuondoa utata katika ajira hii kwamba fundi simu ni tapeli na mjanjamjatu hawana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Watangazaji wa kipindi cha Clouds 360 wameijadili bajeti ya msiba wa Akwilina na kusema inaweza kupungua sana. Wamejaribu kutoa ushauri kwa serikali namna ya kuipunguza bajeti hiyo ikiwemo wao...
6 Reactions
98 Replies
10K Views
Leo niliitikia wito kutoka kwa mwalimu mkuu...nimepewa taharifa mwanangu( mtoto wa Dada angu) hatofanya mtihani kwa sababu hakufanya mtihani wa darasa la7,mfumo wa usajiri wa Necta unatambua...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
WAZIRI wa nchi ofisi ya Rais Tamisemi Mh. Selemani Jafo amemwaagiza Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya Kisarawe kuhakikisha wanajenga madarasa haraka kwenye shule ya msngi Mlohganzila...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Leo tumeshuhudia tukio la aibu jijini Arusha kwa mjumbe wa NEC viti 30 Taifa na baraza kuu UWT Taifa Anna Msuya akitolewa ndani ya nyumba aliyoweka rehani baada ya kukopa toka taasisi moja ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili kupunguza kutukanywa, kudhihakiwa na kudharauliwa hapa JF na Mitandaoni kwingine teua nafasi ya Naibu Waziri Mkuu kama Mzee Mwinyi alivyofanya halafu hskikisha unampa wa kutokea KLM na yeye...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Back
Top Bottom