Muda sio mrefu, msemo Huu Utakufa...katika Malezi.

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
"Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo"
Kwa sasa watoto wengi sana, hawalelewi na wazazi wao hata kama wanaishi nyumba moja.
changamoto za maisha zinawanyima wazazi Muda wa malezi ya watoto wao.
hivyo mtoto wako ataishia kulelewa na bibi, mfanyakazi wa ndani, day care centers, majirani...

kwa aina hii ya malezi, natabiri ongezeko la watoto wasio na adabu, wakorofi, wenye kiwango cha chini kabisa kimaadili.

Unapopanga kujipatia mtoto, panga na jinsi utakavyojitoa muhanga bila udhuru kuwa mlezi namba moja wa mwanao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom