Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ninajua kuwa tuko kwenye hatua za mwisho mwsho za kukamilisha Bajeti ya 2018/19 ili ipelekwe Bungeni kujadiliwa na kupitishwa na Wahe.Wabunge. Ninamuomba Mhe. Waziri wa Fedha na Mipango kuwa ili...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Polisi mkoani Shinyanga wanamshikilia mzee mwenye umri wa miaka 90, Kachuka Malongo kwa tuhuma za kubaka wanafunzi watano wa Shule ya Msingi Tinde, Wilaya ya Shinyanga. Akitoa taarifa kwa vyombo...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Katika ibada iliyofanyika leo ya siku ya mitende makao makuu ya kanisa la Full gospel bibla fellowship,utukufu wa Bwana umeonekana kwa namna ya ajabu sana Katika ibada hiyo amewataka watu wote...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Habari zenu ndugu zangu na watu wa Mungu mliopo humu JF, Kwa uweza wa Roho Mtakatifu Leo ninevuviwa kuleta ONYO hili kwenu na kwa watu wanaosababisha watu kutokwa Roho, kwa kuwapiga risasi,kutoa...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Zamani niliiona jamii ya Tanzania kama inafanana na jamii ya wana wa Israeli chini ya uongozi wa Nabii na Mtume Musa, katika zoezi lake la kutoka utumwani na kuiendea nchi ya ahadi ambayo Mungu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni kupevuka tu! Matusi hayahatarishi amani. Malumbano hayahatarishi amani. Ni wakati sasa mambo hayo yakaachwa ili tuanze kudeal na mambo makubwa. Nchi zilizoendelea zimebaini kuwa hivyo sio...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Unamwalika mwananchia aje kwenye uzinduzi afunge shughuli zake za uzalishaji toka saa tatu unamkalisha chini unampigia mziki mpaka saa saba ndio unafika huu ni unyanyasaji kwa raia
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Na Mwandishi Wetu KANISA Katoliki nchini limeanzisha kampeni ya kupima virusi vya ukimwi kwa waumini wake ili kupunguza kasi ya maambukizi ya ugonjwa huo. Akizungumza na Mwananchi Jumapili...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana jamvi leo katika pitapita zangu za kuganga njaa nilijikuta nikiwa BRELA. Katika kupita huku na kule nikamuona Maghufuli akiwa na maafisa wa BRELA akistaajabu mafaili kuhifadhiwa hadi miguuni...
0 Reactions
46 Replies
7K Views
Turudishe nyumba zote za msajili (NHC) tulizodhulumu (tulizotaifisha) kutoka kwa wageni na watu wetu . Turudishe mabenki, mashamba, viwanda, shule na taasisi zote tulizo dhulumu (taifisha) kutoka...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
habar wanajamvi. Rastafarian movement ni harakati ya maisha kama zilivyo harakati zingine. Hii harakati imechipuka miaka ya 1930's.ni harakati ambayo imelenga kumuinua mtu mweusi. Watu wa tamadun...
1 Reactions
36 Replies
8K Views
Kitendo cha korosho za Tanzania kukutwa na mawe nchini Vietnam kimetia doa kazi nzuri iliyofanywa na Mheshiwa Rais Dr.Magufuli ya kutafuta soko la uhakika la korosho kwa kuzungumza na Vietnam na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Sina uhakika kama huu uzi uliwai kuwepo au laaah.Kama mtanzania mpenda kujua nini kinaendelea katika nchi yangu ikiwemo kisiasa, kiutamaduni, kiuchumi na kijamii pia, leo nikiwa Arusha nikakuta...
2 Reactions
37 Replies
6K Views
KARIBU MKURUGENZI MKUU TUME YA NGUVU ZA ATOMIKI TANZANIA Tuombe kuwashukuru wasomaji wa nyaraka zetu za “Nani Atakayeiokoa Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania” na pia kwa maoni yenu yenye kujenga...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana halafu si mmoja ni wote, wanajua vitu vingi sana, taarifa mbalimbali za kila nyanja wanazo. Ni watu wapelelezi na wadadisi ndio maana wana fahamu mambo mengi sana...
8 Reactions
44 Replies
5K Views
Nipo ofisi ya serikali ya mtaa wa miganga toka saa 12 asubuhi mtendaji hajafika tunataka kujaza fomu za vitambulisho vya uraia
0 Reactions
3 Replies
972 Views
Salaam, Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea. Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nawaza kwa maandishi.
0 Reactions
4 Replies
866 Views
Ugonjwa wa dengue umerejea nchini baada ya wagonjwa 11 kugundulika jijini Dar es Salaam. Taarifa kutoka Wizara ya Afya, Jinsia, Maendeleo ya Jamii, Wazee na Watoto zinaeleza kuwa homa ya ugonjwa...
1 Reactions
39 Replies
11K Views
UONGOZI NA MAAMUZI KANISA KATOLIKI NA NAFASI YA KADINALI KATIKA NCHI AMA KANDA. Katika Kanisa Katoliki:- 1. Maaskofu wote wana hadhi sawa 2. Maamuzi yote kuhusu kanisa hayafanywi na mtu bali...
18 Reactions
45 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…