Kwanini Madereva wana uelewa wa mambo mengi sana?

mwanamabadiliko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2010
Posts
1,364
Reaction score
2,396
Hawa jamaa ni watu wa ajabu sana halafu si mmoja ni wote, wanajua vitu vingi sana, taarifa mbalimbali za kila nyanja wanazo. Ni watu wapelelezi na wadadisi ndio maana wana fahamu mambo mengi sana yanayoendelea kila kona . wanashangaza sana ni tofauti sana na watu wa taaluma nyingine. Hawa jamaa wapo vizuri kila sekta
1. Mambo ya siasa wanayajua na wanafuatilia, wanajua viongozi tofauti na taaluma nyingine kuna dokta nilimuuliza mkuu wa police na mkuu wa wilaya wa mkoa wako ni nani hakujua lakini dereva anajua majina yote
2. Mambo ya mpira wa nje na ndani nchi wapo vizuri
3. Habari za udaku na wanamuziki wapo vizuri wanamjua hadi tunda. Diamond etc
4. Mambo ya biashara wanajua
5. Sekta ya elimu wanaijua. Na kuzitambua shule bora
6. Nchi wanaifahamu vizuri
7. Mambo madogo madogo ya ujenzi. Ufundi, ubora wa vitu etc
8 mambo ya dini na viongozi wa dini wanawajua
9. Waganga wachawi
10. Ukiwa na shida yeyote madereva wanakuwaga na konection za kukusaidia

Madereva nimewavulia kofia, hawa watu ni nomaa
 
Kama kweli vilee
 
Wanasafirisha watu wa makundi mbalimbali yenye uelewa tofauti tofauti
 
Hiyo numbers 9; Dereva wetu ofisini alikuwa hang'oi gari bila kwanza kukojolea tairi za mbele
 
Kwa madereva wa boda wao wanajua wake za watu wanavyogaragazwa kwenye gesti. Na ukitaka gest ya bajeti yako muone bodaboda tu na ukitaka wa kupumzika nae hakuna shida anakuletea
 
Madereva muda mwingi wanasikiliza redio ndani ya gari... imagine dereva wa DFP anavyokula lami karibia nchi nzima karibia siku nzima anasikiliza redio au habari..muda mwingi wanasikiliza redio.
1. Akiwa anaosha gari anapiga stori na waosha magari, exposure hiyo.

2. Wakati anamsubiri bosi ofisini anasikiliza Sports Headquarters,wakati wewe umekodolea macho Microsoft Excel ofisini au uko semina

3. Madereva wengi hasa hawa professional wananunua magazeti wanasoma,pita hata kwenye foleni madereva wa daladala wanasoma Sana magazeti ya michezo

4. Wakija gereji ndo kabisaa full story na wana...

5. Madereva hawana roho mbaya...ona madereva wa daladala Dar wanavyoachiana dei waka,na kuwapa fair magari ya private...hiyo inawapa marafiki wengi ambao wanawapa taarifa nyingi...

6. Madereva wana interaction kubwa na abiria wengine...hapo ndio wanapiga story na ku exchange new ideas

Sasa ukiwa na roho mbaya na kila muda uko serious,hutaki kusoshalaizi na wenzio unajifanya kibosile kisa eti kadigrii lazima uwe butu aka flat...unamjua demu wako tu...bring in new ideas kila wakati kama dereva...big up madereva wote out there hasa nyie mloajiriwa kwenye commercial vehicles na mashirika mnajua kinoma
 
Back
Top Bottom