thA goD JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 1,943 Reaction score 1,858 Mar 25, 2018 #1 Salaam, Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea. Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka.
Salaam, Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea. Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka.
kunze JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 400 Reaction score 472 Mar 26, 2018 #2 thA goD said: Salaam, Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea. Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka. Click to expand... Ungefafanua,hawa ni akina nani? Na unataka nini?
thA goD said: Salaam, Hawa jamaa mapema mwaka huu walitoa waraka wa kukiri kuwa wamefungiwa ila watarudisha pesa za waliowadahili, mpaka sasa sioni kinachoendelea. Nasubiri pesa yangu nikafurahie pasaka. Click to expand... Ungefafanua,hawa ni akina nani? Na unataka nini?