Kama ushawahi tembelea tairi lililowekwa PECHE, jongea hapa!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,660
15,744
Tujikumbushe enzi za ujima.
Kama ulishawahi tembelea gari iliyopasuka tairi na badala ya kuweka tiari mpya ile iliyopasuka inashonwa na kuwekwa peche kwa ndani then kale ka tyube ndio kanafuata kwa ajili ya kutunza hewa,
Na iwapo ushawahi endesha gari zenye site mirror zilizokuwa mbele kwenye bonnet badala ya hizi zilizokuwa kwenye mlango jongea hapa utukumbushe ilikuwa wapi na ilikuwa miaka gani.

Rover.jpg
 
je wanao sema sight mirror nao wanakosea?
Lugha ilikuja na meli hii,hapo ndio utata. Ni makosa. Watu wanasema sight wakimaanisha kuona au kinachoonekana nadhan,hivyo kwa kuwa kioo kile kwenye gari kazi yake ndio hyo,wakakipa jina hilo.Km vipi Google uone.
 
Back
Top Bottom