Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Tumeambiwa ni Lazima kwa wanaouza Pembejeo za kilimo kupata mafunzo Maalumu, Sawa hatukatai. Kwa huku Mtwara wamefikia Masasi wanaendesha mafunzo hayo ya siku tano ambayo ada yake ni Tsh 380,000...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale wanaopitia mambo kama haya, TANESCO wamekuwa wakikosa umakini na watu kujifanya wafanyakazi wa TANESCO na kuwadanganya watu, Mama mmoja wa Kemondo Bukoba amekumbana na sakata ilo...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
UNDANI wa mwanaume mmoja aliyejulikana kwa jina Bernard Shumba mkazi wa Singida kugundulika na jeshi la polisi mkoani humo kuwa amemuua mke wake miaka minane iliyopita kisha kuufi cha mwili wa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Uongozi wa Tigo Naomba kuweka wazi kwamba ninasikitika sana kwa jinsi mnavyotatua kero za wateja wenu. Nimekua mteja kwa zaidi ya miaka 10 lakini kila mara nikipata tatizo na kuongea na watu wa...
1 Reactions
4 Replies
900 Views
KWANZA: nipo morogoro siku ya 9 leo ila nilicho kipata huko!!! kuna mama yupo mkoa wa morogoro afisa elimu mkoa morogogoro,huyu mama anatukana hovyo walimu kwakweli huko morogoro na kejeli...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Usihukumu wakati hujafanya uchunguzi, Hujafanya utafiti huna haki ya kusema. Huna takwimu huwezi kujenga hoja. Muwr na pasaka njema tuombee amani ya nchi yetu.
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi (TSNP), Abdul Nondo amesema anaandaa waraka kuelezea yaliyomkuta hadi kupata dhamana. Aidha, amesema hana taarifa za kusimamishwa kwake na chuo kwa kuwa...
2 Reactions
48 Replies
11K Views
Nimeshtushwa sana na maneno ya kiongozi mmoja wa elimu hapa jijini baada ya kutoa kauli "Marufuku kwa Mwalmu yoyote kufanya biashara ya aina yoyote ile iwe ndani ya kituo chake cha kazi au ht nje"...
10 Reactions
75 Replies
5K Views
NILILONUFAIKA NALO KUWEPO JAMIIFORUMS Kuweza kuwa mjenga hoja mzuri sana mbele ya ' Mangumbaru ' wengi waliopo mitaani na vijiweni ambao pia ni wavivu wa kufikiri kiasi kwamba imefika hatua hadi...
4 Reactions
47 Replies
3K Views
Jamani mm ni mgeni kidogo! Kigogo (Mkurugenzi. DAS.RAS.Manager.RC.DC nk) akisimamishwa kazi kupisha uchunguzi anaendelea kuishi nyumba ya Serikali na kuendelea kupata stahiki /hadhi zingine zote...
1 Reactions
3 Replies
965 Views
ANGALIZO Waraka huu nautoa kama GENTAMYCINE na siyo GENTAMYCINE mwana CCM au Mpinzani na Mtani Mkuu wa CHADEMA ( anavyojulikana na wengi humu ) na nautoa huku nikimtanguliza Kwanza Mwenyezi Mungu...
12 Reactions
49 Replies
4K Views
Vyama vya siasa vimekuwa vikitumia ruzuku ya serikali bila kuwasilisha mahesabu yao kwa CAG. Amevitaka vyama vyote kuwssilisha hesabu hizo haraka kwa CAG kabla msajili hajavifutilia mbali. Source TBC!
1 Reactions
2 Replies
883 Views
Kama tu TAIFA linalomwamini na kumpenda Mungu kweli, na kama tuna Uongozi unaomwamini na kumpenda Mungu kweli, basi TUACHENI TUSEME ILI NCHI IPONE! Nimeona mashabiki wengi wa Utawala uliopo...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. William Anangisye amemsimamisha mwanafunzi wa chuo hicho Abdul Nondo kuendelea na masomo yake chuoni hapo hadi kesi yake inayomkabili katika...
1 Reactions
215 Replies
25K Views
Ajali mbili zimetokea maeneo ya iyovi Iringa kwa uzembe wa madereva, ajali ya kwanza imehusisha basi la kampuni ya nganga lilokuwa linatokea Kilombero; Na nyingine ya lori iliyosababisha...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Niko dar es salaam hii ni wiki ya pili sasa na leo nilifanikiwa kufika manispaa ya ubungo kwa ajili ya kujipatia leseni ya biashara ninayotaka kuianzisha Nimefika pale na TIN number yangu na...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Kwanini watu wengi machachali wakipelekwa selo au wakitekwa pindi wakirudi wanakuwa wapole na ukiwatizama usoni unahisi na unaona matatizo ya kisaikolojia ya mtu huyo. 1.Roma huyu msanii alikuwa...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Morogoro. Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata mkazi wa mjini humo, Mabula Mabula maarufi Six kwa tuhuma za uporaji wa simu kwa kutumia pikipiki, kubaka na kuwapiga picha za utupu...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Watanzania tunapoteza muda mwingi na kuachwa mbali sana kwasababu hatueleweki wala kujitambua tunataka nini kwa nchi yetu. 1. Siasa: Hatujitambui kwamba tunataka mfumo gani. Kuna wanao penda...
1 Reactions
0 Replies
42K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Kheri James ameshutumu vikali kitendo cha Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kufungia kuchezwa kwa nyimbo 15 za wasanii wa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom