Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Raisi wa Tanzania marakadhaa amekuwa akisisitiza sana Watanzania tudumishe AMANI,wanasiasa , viongozi wa dini, wananchi wa kawaida, wote wanasisitiza AMANI.yamkini hapa kunatatizo linalopelekea...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwaka 2015 ulikuwa na raha za aina yake hasa wakati wa kampeni za Urais. ITV ilikuwa na maripota wawili nguli Emmanuel Buhohela akiripoti kampeni za Rais Magufuli na CCM huku Spencer Lameck...
4 Reactions
11 Replies
5K Views
Nimejalibu kuchunguza tabia za mbongo,ukimwomba mtu msamaha ndiyo anapata mzuka wa kukutupia lawama,hii tabia inasikitisha ndo maana wengine huwa hatuombi msamaha pale tunapokosea!! Je kuna...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za blue Monday wanajamvi! Naenda kwenye mada, nikiwa kama mwanafunzi wa kawaida kabisa katika shule yetu iliyopo huku kijijini nashangazwa sana na huyu kiongozi wetu wa shule; amekua sio...
14 Reactions
86 Replies
7K Views
Kama uwezekano upo basi ningeomba siku kama ya leo 01/04 ifutwe kabisa. Leo mida ya saa 1asubihi nikiwa nyumbani nilisikia simu ikiita kuangalia kaka yangu kanipigia akaniambia kuwa baba mdogo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bunju "B" - Viwanja vya Mradi (Karibu na soko jipya) vimegeuka kuwa mapori na hii inatishia usalama wa wakazi wa eneo hilo. Kwa kuwa hii kero imekuwa ya muda, sasa kuna maadalizi ya kumualika Mh...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mimi leo yule aliye nipeleka morogoro kisha nkakuta hewa mungu anakuona yani kusem kweli umeniharibia kabisa siku yangu umenifanya niishi kimaskini sana siku ya leo Yani nimemind sana basi...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nawasalim kwa upole wa kwarezima wakuu. Nina mdogo wangu kutoka family friend ambae tumekua nae tangu tukiwa wadogo,Mungu amemjaalia mpaka sasa akahitimu diploma yake ya General Agricultural...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JUA JEKUNDU, MOTO MWEKUNDU, DAMU NYEKUNDU n.k Naomba kujua UHUSIANO ULIOPO kati ya baadhi vitu na rangi nyekundu ? Tujaribu kufikiri nje ya Ufahamu uliozoeleka, Fikiri nje ya BOX
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Huu ni ukweli mchungu. Nimejaribu kuangalia live performance za wasanii mbalimbali bongo kuanzia hao akina diamond na ali kiba, sijui weusi na wengine wengi sana, wote hamna kitu. Kusema ukweli...
1 Reactions
2 Replies
5K Views
Nahitaji kufahamu matumizi ya tetesi na news alert, maana me mada yeyote nazitumia hizi.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Inspekta Jenerali wa Polisi, Simon Sirro anawashukuru Wananchi kwa ushirikiano wanaoendelea kuutoa kwa Jeshi la Polisi jambo ambalo limesaidia kupunguza uhalifu kwa kiasi kikubwa hapa nchini...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
HAPPY RESURRECTION DAY "EASTER" And the angel answered and said unto the women, Fear not ye: for I know that ye seek Jesus, which was crucified. He is not here: for he is risen, as he said...
1 Reactions
4 Replies
659 Views
0 Reactions
4 Replies
831 Views
Kwenye ukweli lazima usemwe,huyu dada wa mapokezi Aga khan polyclinic posta amekidhi vigezo vyote vya kuwa mfanyakazi wa mapokezi. Kwa jina simfahamu,ila wajihi wake ni mrefu na mweusi,mwenye...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Sio mimi bali ni mdogo wangu yuko huko...now 01/04/2018 ana wiki ya pili huko....hali iliyoko anayumba baada ya kuibiwa kila kitu ikiwemo passport.... Amejishikiza kwa mbongo nae maseke...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Miaka ya 1980 na 1990 kwenda 2000 kulikuwa na watu wanadaiwa kuwa ni wanyonya damu. Magari ya msalaba mwekundu tulikuwa kukikutana nayo lazima tutoke mbio kwa hofu ya kunyonywa damu. Binafsi mimi...
8 Reactions
120 Replies
15K Views
SALAAM WANDUGU! *SARAPHINER ZABLON URIO* AMEPOTELEWA NA VITAMBULISHO VYAKE, VIKIWEMO 1. Passport ya Kusafiria 2. Kitambulisho cha Taifa 3. Leseni ya Udereva 4.Kadi za benki 5.Kadi ya...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Vijana tujifunze kutotumia nguvu na matatusi kuonyesha hisia zetu au kutokubaliana na jambo fulani Tukitaka kujenga taifa na kulisaidia tujifunze kuwasilisha hoja kwa njia inayomfanya mtu aelewe...
3 Reactions
14 Replies
998 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…