Kipindi hiki nyimbo zinazotamba ni bolingo+Remi ongara
Enzi zile MTU akiumwa kila MTU anajua
Familia nyingi ziliteketea
Wachache sana walinusurika wengi walikufa kipindi kile...ukiupata lazima...
Leo kuna mkutano mkuu wa BAKWATA kule Dodoma ambapo mambo mbalimbali yatazungumziwa
Waziri huyo wa TAMISEMI anahutubia juu ya mambo mema yaliyofanywa na serikali yetu.Mambo hayo aliyosema hakuna...
Amani iwe nanyi wanaJF
Nimeishi Morogoro kwa miaka mi3 enzi hizo nasoma chuo kikuu Sokoine(SUA) miaka ile nikiri tu kwamba hali ya hewa ya morogoro mjini ilikua safi sana
Hivi majuzi nimerudi...
Baadhi ya Wananchi wa mtaa Nyakabale Kata ya Mgusu kwenye halmashauri ya mji wa Geita ,wamegoma kuuzika mwili wa Bw ,Zacharia Shaban na kuutelekeza nyumbani kwa Mwenyekiti wa mtaa huo, Bw Elias...
Habari wana Bodi.
Nimeona ni vema nikiweza lisemea hili, labda linaweza toa ufumbuzi na unafuu kwa watu wengine pia.
Swala la manunuzi kwenye mitandao, inabidi litazamwe kwa jicho angavu maana...
Ilikuwa meli ya ki british ya kusafiria abiria ambayo ilizama kaskazini mwa bahari ya atlantic 15 april 1912 ikitokea southampton kwenda new york city
Kulikua na abiria takribani 2224 na...
Shirika la Kimataifa la idadi ya watu -UNFPA- limesema idadi ya vifo vya mama na mtoto vinavyotokana na uzazi hapa nchini imeongezeka hadi kufikia vifo 556 kwa kila vizazi hai laki moja kutokana...
Habarini za jioni wakuu?
kama tujuavyo Mkurugenzi wa halmashauri ndie afisa masuuli-ACCOUNTING OFFICER. Lakini idara ya fedha iko chini ya Mtunza hazina (DT). Hivyo ninahitaji kujua majukumu na...
Umuofia kwenu, niende moja kwa moja kwenye mada, nimeona press conference mbili moja ya kamanda Mambo now nyingine ni huyu bwana Musiba, wahusika wa press walizungumza vitu ambavyo kuna maswali...
Habari
Mara kwa mara nimekuwa nikiripoti kuhusu hali ya usalama barabarani nyakati za usiku kwa upande wa Tanzania bara lakini mara zote nimekuwa nikipingwa kwa madai kuwa haiwezekani maeneo hayo...
Huyu mama kama amepita sehemu zote za huduma ya afua na kuonekana mtoto hana kitu chochote ambacho ni ugonjwa kutokana na mtoto kuwa na nguvu nyingi sana kiasi cha kukuweza kujeruhi watoto wengine...
Long Island New York mwaka 1999
Tarehe 2, mwezi wa 9 mwaka 1999 nyakati za jioni, askari mpelelezi kwa miaka kumi na moja wa kitengo cha polisi kinachohusika na kesi za mauaji Bwana Brian Parpan...
Askari Polisi namba H.3102 konstebo Bariki Michael (28), wa kituo cha Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi, juzi alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa akikabiliwa na shitaka la kumbaka mtoto...
Huwezi amini hadi muda huu natiririka na naserereka hivi hapa Jamvini GENTAMYCINE sijaalikwa hata katika ' mnuso ' mmoja wa Pasaka hii na sioni kabisa dalili ya kutokea kwa ' mwaliko ' wowote muda...
Umoja wa Makanisa ya Kikristo umesema kanisa ni chombo chenye mamlaka ya Mungu katika kukosoa, kukemea na kuelimisha waumini wake na kamwe hakiwezi kunyamazishwa na mtu yoyote.
Akizungumza katika...
Idadi ya vifo vya Wakimbizi waliopata ajali kwenye mteremko wenye kona kali wa K9 katika kijiji Kasharazi wilayani Ngara mkoani Kagera, imeongezeka na kufikia 8 baada ya wawili kufariki wakipatiwa...
Hii nchi watu wake wako low sana.
Naona clip za Musiba/Mwampamba zinasambaa eti wanaongea na waandishi wa habari na media nazo zina hudhuria na kureport BILA aibu.
Hii nchi ukifanya juhudi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.