Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Watu watano wamefariki na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya basi moja kati ya manane yaliyokuwa yakisafirisha wakimbizi kutoka kambi ya Nduta wilayani Kibondo mkoani Kigoma kuelekea nchini...
1 Reactions
24 Replies
6K Views
Mamlaka ya Usafiri Ardhini(SUMATRA) imeifungia Kampuni ya City Boy, ambayo mabasi yake mawili jana yalisababisha ajali mbaya iliyopelekea watu 30 kupoteza maisha na wengine wengi kujeruhiwa. Jana...
4 Reactions
267 Replies
34K Views
Habari wadau nina kampuni ndogo ya kama malori 10 hivi nahitaji mtu wa kuanza nae na kukuwa nae kwenye kampuni yangu mwenye ujuzi wa logistic,accounts record na mawasiliano mazuri ya lugha ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanamke atumia ARV miaka tisa bila ukimwi *Alipwa fidia Sh 2.6 bilioni BOSTON, Marekani MWANAMKE mmoja, Audrey Serrano amelipwa fidia ya Dola za Marekani milioni 2.5 (zaidi ya Sh 2.6...
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Hakika ni furaha kwa watanzania wapenda maendeleo kwa nchi yao kutokana na taarifa za zinduzi mbalimbali zinazoendelea mwezi huu wa nne. Naona umekua ni mwezi mzuri sana jamani hadi raha
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Dah.. Kuna bidada mzur kweli kahamia mtaan kwetu mwez wa tatu.. she is living next door kwenye hiz appartment tupo wapangaj watatu na yeye wa nne.. Kila mtu anaish maisha yake..wapangaj wenzangu...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Habarini za jioni Toka April mosi Kuna mabadiliko katika ununuzi WA Luku na kuona ongezeko la Tran fee 1.1%, sijafahamu maana ya hii fee mpya naomba kujufahamishwa zaidi. Awali nikinunua umeme WA...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Inawezekana vipi asasi inayoitwa Pride ikusanye michango ya NSSF kutoka kwa wafanyakazi kwa zaidi ya miaka 10 kisha isifike kunakohusika. Pia inawezekana vipi Pride ikusanye fedha za loan board...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwema wakuu wangu, Leo asubuhi nikiwa kwenye mishe zangu nikapokea meseji kutoka kwa dada wa kazi kua Nyumbani umeme umeisha. Nilimuelekeza nilipoweka hela aende akachukue alfu 5 ajiwekee...
3 Reactions
66 Replies
10K Views
uvccm nw mbafanya kazi.. nakumbuka enzi zile za jk ccm ilikuwa ikishambuliwa saaana mitandaon bila ya majibu hata km story ni za uongo kulikuwa hakuna wa kupinga, ila sasa hivi ukigusa tu...
1 Reactions
5 Replies
646 Views
Alianza Chahali kuisema vibaya Serikali ya Tanzania akiwa huko Uskochi miaka zaidi ya sita iliyopita akafuatiwa na Mange akiwa Marekani pamoja na kuishambulia serikali lakini huyu na kuwatusi...
23 Reactions
179 Replies
18K Views
Salaam wanajukwaa Kama mada inavyojieleza Kuna sehemu nimepata kibarua,mshahara ni laki 2 na unatoka mapema kupitia bank Sasa kupitia huu mshahara nina lengo la kudunduliza nipate...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Kuna kina dada ambao wamejikuta wana tatizo la hemoroid (kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa) hivyo kuwa wasiri sana na kutokuwa wawazi ili wapewe msaada. Miongoni mwao wapo ambao walipatwa...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Ndugu zangu hakuna siku niliyopata hasira kama leo mnamo tarehe 28/3/2018 nilisikia tangazo kwa Radio kwamba Nida wanandikisha kwa watu walio kwenye mifuko ya kijamii ambao hawakupata wakati...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Kampuni ya Vodacom kifurushi cha 500 unapata mb 150 plus 20 mb bonus. Kifurushi cha 1000 unapata mb 500 plus 50 mb bonus. Sasa usanii uko hapa ukitumia ukimaliza hizo bonus tuu, wanabadilisha...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Funza au Viwavi wanaojulikana kama Viwavi jeshi ( Armyworms) sasa wamefika Tanzania nakuanza kusambaa kwa kasi. Kwa mara ya kwanza hawa Viwavi Jeshi waligundulika Sauth Afrika. Kwa sasa wameanza...
6 Reactions
83 Replies
29K Views
Naomba MSAADA wa mawazo wadau wangu. Hivi wanyama mfano Ng'ombe, nyati, Chui au Tembo huwa wanaugua magonjwa ya Zinaa/ya ngono mfano kaswende, kisonono na pangusa? Kama ndiyo wanaponaje? Ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
536 Views
Tokea aanze kufanya ' interview ' yake kama Msemaji wa Taasisi kubwa hadi hivi sasa amemaliza muda mfupi tu uliopita nilichokiona kutoka Kwake ni Kuongea kwa ukali, vitisho, kutemea mate Kamera ya...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
MAPENDEKEZO YA MABADILIKO YA SHERIA YA USALAMA BARABARANI SURA YA 168 Utangulizi Leo 13.10.2017, kikao cha taasisi wadau wa usalama barabarani kimepokea na kutoa maoni juu ya mapendekezo ya...
1 Reactions
13 Replies
22K Views
Tanzania imeendelea kuaminiwa na Jumuiya ya Kimataifa ambapo Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Falme za Kiarabu-Abu Dhabi, umeipatia Tanzania mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom