KUMBE MKE WA MTU.

pathfinder_tz

JF-Expert Member
Mar 4, 2018
356
377
Dah.. Kuna bidada mzur kweli kahamia mtaan kwetu mwez wa tatu.. she is living next door kwenye hiz appartment tupo wapangaj watatu na yeye wa nne..
Kila mtu anaish maisha yake..wapangaj wenzangu wawil wanaish na wapenz wao but mm niko alone na huyu mpangaj aliehamia nae anaish peke yake..
So huwa tunaonana weekends na jion baada ya mihangaiko ya kutafuta hela..
We get along well kias kwamba sasahiv imefikia hatua tumebadilishana mawasiliano na huwa kama natoka usiku yeye ndo ananifungulia get night kali na yeye pia namfungulia..
Siku hiz anapika msos then ananiita tunakula wote ananiambia akila peke ake anahs upweke sana bas huwa tunakula wote then tuna piga story haijalish kwangu ama kwake..
Cku moja akaja na mvinyo chupa mbili akaniambia ni cku yake ya kuzaliwa so amefanyiwa surprise party officn kwao then wakaenda kupart akarud mida ya saa tano na text..akanipgia nikamfungulia..
Akaniambia aje kwangu tustor then akalale.. bas tukaingia ndan mi nna pajama ya kulalia tu juu sijavaa kitu..
Amelewa kidogo bas tukapga stor akafungua mvinyo chupa moja tukawa tuna sip.. ki ukweli huwa namtolea macho sana huyu bint sikujua kama anajua.. bas tukanywa pale mpaka mida ya saa saba ucku tunachek movie.. anacheka cheka kwa aibu mara anaenda kukojoa anarud.. tumezoeana sana.
By the way sijawahi kumuona akiingiza mwanaume hapa ndan zaid ya rafik zake wakike tena mara chache saana huwa ananiambia hapend mazoea na wanawake wana drama nying..

Nikaanza kusikia kizungu zungu mvinyo unafanya kaz taratib.. nikawa namtaman na naona mzee baba hapa chin anataka kunidhalilisha maana kaanza kusimama..
Nilikua cjanotis kumbe yeye anaona akanioneshea kidole akaniambia mzee amesimama kwa kichekoo dah kiukweli niliona aibu nikataka kuzuga kuweka mto wa sofa juu ya mapaja lakn nashika mto tu ananizuia

Akaniambia lemi take care of u.. ckumuelewa mpaka aliponisogelea na kuanza kunipa romance na mkono wake mmoja akaingiza ndan ya pajama na kuanza kumassage maungo yangu ya kiumeni...
Dah ilikuwa noma coz cjacheza mech mda mrefu sana.. na yeye ilikua the same.. bas tukavuja amri ya sita na ikabid tulale wote kitandan kwangu..
Tukafanya sana mchezo mbaya.. mpaka asubuh yeye akaaanza kuamka nakujikuta kitandan kwangu naked.. akaniamsha na swali lake la kwanza akaniuliza what have we done!????
Nikamwambia tulikuwa tumelewa na ckujua exactly nn kimetokea mpaka ikawa vile.. she a bit shy..
Bas ikabid nimtulize na kumwambia haikuwa planned icpokuwa ni influence ya pombe..
Akavaa akaenda kuoga kwake..
Hatukuwa poa kama week hiv.. ni salam bas kila mtu na mambo yake..
Nakumbuka ilikua jmamos jion sikushinda home so ikaingia text kwa sim.. hey.. sorry kwa kilichotokea najua wote hatukupanga but naomba tusiharibu urafik wetu..
Ikaja ya pili..i really miss u.. plz rud mapema i want to see u n talk to you..
Nikamwambia poa.. .
Nikarud kama saa mbili hiv ucku na parcel ya vyakula nikamletea na yeye pia coz nilimwambia asipike ntakuja na msos..bas tukala pale tukapiga story na nilikua kwake..tukala tukashare ma story then we did it again n again n again tukiwa tuna akili zetu n she told me she was inluv with me lakn kuna tatzo.. akaniambia yeye ni mke wa mtu na mumewe yupo nje ya nch anasoma bt upweke wake ukamfanya awe na mm..
Dahhhhh.. nilishtuka sana na nikaogopa..
Mke wa mtu sio kitu rahis na istishe alishaniingia akilin..
Nikamuuliza kwann hakuniambia kama ni mke wa mtu akaniambia ilikua aniambie bt ishatokea yaliyotokea na anasisitiza ananipenda sana na amenizoea sanaa..
Ndo mana akahis akiniambia atahatarisha ukaribu wetu kitu ambacho yeye hatak..
Dah kiukweli nmeacha ukaribu nae ila naona kama najitesa coz nikimuona naumia sna na yeye amekuwa mtu wa mawazo.. mpaka jana jion nilivyotoka kazin akanitext like plz dont push me away.. i cant stand ths lonelyness.. will u plz come over.. m waitn for u.. m naked waiting for u..
Kama usipokuja pia nitakuelewa wala sitakusumbua tena..
.........
 

Attachments

  • FB_IMG_1520760124572.jpeg
    FB_IMG_1520760124572.jpeg
    56.9 KB · Views: 47
Kumha nyatia .... kumyatia mwenzio sehemu iliyonona ni suna sheikh , mradi usishikwe tuuu.
 
NGOJA NIKUTAATIFU

1.kama umegundu vyombo vya habari, NG Os Madhehebu ya dini Nk wameacha sikuhizi kuongele habari za UKIMWI.habari za UKIMWI hazisikiki tena

2.Watubwengiiiiik sana Especially akina mama wana maambukizi ya UKIMWI na wanatumia ARV na hakuna anaye ficha imekua jambo la kawaida sana kutumia vidonge

3.Usitegemee kuona mwathirika wa UKIMWI barabarani au popote akiwa amaekondeana kama zamani.Yani Bro, sio kama zamani hakuma anayeshtuka na ukimwi siku hizi

4.Wana ndoa wengi wameadhirika kwa kutokuwa waaminifu na wanatumia ARV

5.Mwisho kama unajipenda huyo dada hajaanza na wewe tangu mume wake aondoke. Usidhani wewe ni wa kwanza.Kapime kama ukobsala ikiwezekana hama hapi mara moja na tafuta mke oa
La sivyo nakuhakikishia
UKIMWI NI MWINGI SANA KULIKO UNAVYO DHANI

ACHA KABISA ACHAAAAAA
 
Back
Top Bottom