KISUTU, DAR: Mkurugenzi wa Huduma na Uwezeshaji wa Taasisi ya Uhasibu Tanzania(TIA), Zodo Miraji wamefikishwa katika Mahakama hiyo kwa tuhuma za kuhujumu uchumi na kuisababishia taasisi hiyo...
Tunaishi katika dunia ambayo watu wengi wanapenda kujipiga picha ‘selfie’na kuzisambaza kwenye mitandao ya kijamii. Tabia hiyo ya kujipiga selfie inatajwa kuwa ni mapinduzi makubwa ya tasnia ya...
Nakumbuka mechi ya Taifa Stars na DR Congo TFF mlitoa kiingilio cha chini kabisa ili watanzania wengi waingie uwanjani siku ya mechi na kuipa hamasa timu ya Taifa ilipopambana na timu ya Taifa...
Baba Mtakatifu Francisko amekubali ombi lililowasilishwa kwake na Askofu mkuu Josephat Louis Lebulu wa Jimbo kuu la Arusha, Tanzania la kung’atuka kutoka madarakani.
Wakati huo huo, Baba...
MREJESHO:Nilileta dukuduku langu juu ya ofisi utumishi ya halmashauri ya Kwimba kukosa maafisa utumishi baada ya waliokuwepo kutumbuliwa.
Jambo hili limekuwa na madhara yake kwetu sisi watumishi...
Waraka wa Maaskofu wa KKKT ulivuja kabla ya siku ya kuusoma iliyopangwa ambayo ni siku ya Pasaka na wakakubaliana kuwa hawatausoma tena siku ya Pasaka ila anayetaka kuusoma basi upo katika sharika...
Waziri mkuu kassim majaliwa wakati akizungumza wakati wa uzinduzi wa mbio za mwenge mkoani geita ametaja mikoa ambayo inayoongoza kwa utoro level ya primary na secondary .
1.TABORA
2.GEITA...
Huyu ni mtangazaji ambaye mara nyingi utamsikia radio UFM 107:3 inayomilikiwa na Azam akisoma habari, na pia mara chache utamwona Azamtv two akisoma habari.
Binafsi nimevutiwa na usomaji habari...
Na Eliya Mbonea, Arusha
Askofu Mkuu wa Makanisa ya Babtisti Tanzania, Mchungaji Arnold Manase amewataka viongozi wa dini kushauri kwa namna njema bila kutabiria nchi mambo mabaya kwani ubaya...
Nimezaliwa na kukulia katika nyumba ya bati na mpaka sasa naishi nyumba ya bati na kiukweli sijawahi kuishi katika nyumba ya nyasi hata nilipokuwa narudi kuwasalimia bibi na babu bado nilikuwa...
Kuna mambo yanafikilisha na kuchanganya kabisa!
Unapojutia kuwa nacho mwenzako anatamani awe kama wewe!
#. Polisi anatamani ungekuwa banker, banker anatamani kuwa mfanya biashara,# mfanyabiadhara...
Nimeona mtandaoni video imezagaa ikiwaonyesha watz waishio Oman wakijazana ubalozi watz nchini wakidai kutaka kurudi home Tz. Na haya ndio majibu ya wizara.
Habari zenu jamanii wana Jamii Forum,
Napenda kuleta hoja hii kwa serikali ili kuepusha mambo kadhaa ambayo kwa hali jinsi ilivyo hayanabudi kutokea,mfano chuki ya wananchi kwa serikali yao...
Kama mada inavyojieleza
Nlipata furaha sana baada ya kupata kazi shule flani private
Japo salary sio kubwa sana ila kwa kiasi flani nliona itanivuta vuta
Daaah ghafla nakutana na mlolongo wa...
Wafanyabiashara jijini Arusha wamelaani vitendo vya mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo, kuwachangisha kila fedha kwa ajilin ya agizo la Rais.
Wakitolea mfano wamesema kwamba waliwahi...
Sikutaka kuamini kwakuwa nilikuwa bado sijazaliwa...
But nikataka kujifunza na kujua zaidi kutoka kwenu mana najua zipo pipo ambazo humu JF zilikuwa zimeshaliona jua, labda wao wanaweza...
Najua waziri Mpango yuko anaanda miswada kadhaa ya mwaka huu.Najua pia kua anajua kiuhalisia changamoto zinazokabili wafanya biashara wa hapa nchini.na kwa hakika ninaamini kwamba anao mpango wa...
Za jioni wadau, kuna habari nimeipata kutoka kwa mdau alieko nchini Kenya ikitahadharisha kuhusu uwezekano wa mlipuko wa volcano katika mlima Kilimanjaro na inadai moshi unaonekana kutoka kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.