Ushauri: Namna nzuri ya kuweka akiba

Mzee Mchochezi

Senior Member
Apr 3, 2018
126
242
Salaam wanajukwaa

Kama mada inavyojieleza

Kuna sehemu nimepata kibarua,mshahara ni laki 2 na unatoka mapema kupitia bank

Sasa kupitia huu mshahara nina lengo la kudunduliza nipate mtaji,lakini kuna kitu kinanichanganya nahisi kama lengo langu halitatimia

Si kingine Bali ni namna gani niweze kuweka akiba,Nina mtoto ambaye anaishi na mamake,huyo mamake ana kipato kizuri sana ila Mimi kama mwanaume lazima nihudumie kwa hiki kidogo ninachopata,hii ni sawa

Sasa najiuliza nitumie njia gani kuweka akiba na nyingine ya matumizi iweze kumaliza mwezi

Then mwisho wa Siku nipate kamtaji nifanye biashara zangu

Msaada njia gani bora ya kuweka akiba na ku-manage huu mshahara wa laki 2?

Mwanzoni sikua naweka akiba yoyote coz kazi nikiyofanya ilikua ya kupata hela ya kula tu.
 
mkuu laki mbili pesa za kitanzania au laki mbili U.S. dollar?
 
Ongea na mkeo mjaribu kutunza pesa kwa pamoja nazani huu ni ushauri mzuri usijaribu kupambana wewe kama mwanaume utashindwa kwani laki2 sio kubwa sana
 
We kopa benk fanya kitu cha maana kwa huo mshahara hutaweza kuweka akiba kabsaa
 
IMG_20180404_181847_361.jpg
 
Mkuu 200k kwa maisha ya Tz ni ngumu + familia..labda mwenywe na ujibane sanaaaa..
Kwa kuweka akiba nenda kwa jamaa wa welding wakutengenezee kibubu cha chuma ili iwe ngumu kutoa pesa ili malengo yako yatimie au sio embu jaribu hvyo..
Kwa nusu mshahara 100k kwa mwaka mtaji umepata
 
Back
Top Bottom