uvccm nw mbafanya kazi..
nakumbuka enzi zile za jk ccm ilikuwa ikishambuliwa saaana mitandaon bila ya majibu hata km story ni za uongo kulikuwa hakuna wa kupinga, ila sasa hivi ukigusa tu serikali km nyuki unavamiwa unapingwa hata km story ni ya kweli utapingwa. hongern sana siasa ndo inavyotaka