Nilishawahi kusema , watangazaji wengi wa Clouds wanatamgaza tu kwa vile wana sauti za kutangaza na ujanja ujanja mwingi.
Katika mjadala uliokua unaendela jioni hii nimemsikia Ephraimu Kibonde...
Waislam wadai malkia Elizabeth wa Uingreza ni uzoa wa mtume Mohamed, kwamba malkia uzao wake unatoka kwa mtume Mohamed.
Unaweza kusoma mwenyewe hapa.
==============================
“QUEEN...
1. Kimboka Buguruni
2. Ununio mkabala na Mahaba Beach
3. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )
4. Coco Beach Oysterbay
5. Chato Airport Mkoani Geita
6. Mkoa wote wa Dodoma kama Mji Mkuu
7...
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema serikali itawafikisha Mahakamani na kuwafutia hati ya umiliki wananchi wote wanaomiliki ardhi ambao wamekuwa hawalipi kodi ya...
Sex ads website Backpage shut down by U.S. authorities
By Sarah N. Lynch and Lisa Lambert
WASHINGTON (Reuters) - U.S. law enforcement agencies have seized the sex marketplace website Backpage.com...
Asalaam alekyum ndugu zangu ktk iman
Naomba nisiwachoshe sana,ujumbe muhimu nilionao kwenu ninyi ni huu;
Kila m2 ajitahdi kuwa na nakala ya vyeti vya kuzaliwa vya Wazazi wake,Babu zake na Babu...
Hakuna kitu kilichokuwa kinanipa faraja kama kusikia mahakimu/wanasheria hutoa hukumu halali kwa mtuhumiwa pasina kuacha shaka hata kidogo. Hili lilikuwa linanipa faraja kubwa kwamba mtu huwezi...
NAZUNGUMZIA BASI NA DALADALA KWA UJUMLA:
Mimi binafsi nimekutana na majanga kibao na sio moja kama:
1.Kusafiri kutoka Dar kuja Arusha tumbo lilinisubua sana.
2.Kuibiwa mp3 ya bei kiasi enzi...
Kwa muda mrefu nimekuwa mpenzi msomaji pasipo kuelewa ni kipi kinacho endelea.
Zikiwa zimesalia siku 18 tu kufikia siku ya tukio, naomba kueleweshwa yafuatayo.
Tarehe 26/04/ nisiku ya mapinduz...
Huwa sielewi mantiki ya kuvunjwa kwa sanamu ya hayati,kipenzi chetu mwal JK Nyerere mkabara na jengo la CCM mwanza,nataka kumjua aliyependekeza kuvunjwa kwa sanamu ile,maana ilikuwa anachochea...
Ndugu,siku za hivi karibuni nimepokea SMS zinazodai nitume hela fast kwa namba fulani na ninapojaribu kumpigia nijue ni nani mara namba unayopiga haipo, mara simu inatumika au haipatikani
Baadae...
Ndugu zangu mabondia,mwanamke hatakiwi kutukanwa,anatakiwa athaminiwe kwa kuijaza dunia kupitia matumbo yao.Hivi kwa nini adhihakiwe,nimemuona mada mahugo,akimfananishe bondia mwenziye na...
Adui yangu Mr. Ndutu Ssuli ameumizwa vibaya na ' Vibaka ' kwa Kuchomwa ' Visu ' mara 38 mwilini ( na bahati mbaya sana hadi sasa hivi Kisu kimoja bado kipo mbavuni Madaktari wanahangaika nacho ili...
Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakari Zuberi amesema Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limefanya mabadiliko ya upatikanaji wa viongozi kwa nchi nzima kuanzia ngazi ya Masheikh wa wilaya...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe alipoenda leo kuaga na kutoa heshimu za mwisho kwa Marehemu Franklin "Kizzo" Ndosi. Pichani ni Mbowe akimpa pole Mama wa Marehemu
Declaration of interest.
Nampenda sana Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan. Ana haiba ya kipekee kama mama na kama mwanamke. Nikimtizama na jinsi...
Kiukweli hawa jamaa wa continental ni wa ajab sana cjapata kuona dunia hii toka iumbwe. Mwenyezi mungu kaumba dunia toka zama za adam na eva na tumepita karne nyingi mno ila hii karne dunia nzima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.