Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Hali sasa si shwali kabisa! Bei ya mafuta inazidi kupanda kila mzigo mpya unapoingia. Tufanyeje ili tuepukana na hali hii vinginevyo vyuma vitakatika kwa sababu hivi sasa viko red hot!!!
0 Reactions
1 Replies
781 Views
Baada ya leo kupanda basi hizo zinazosifiwa sana, nimejionea mapungufu yafuatayo; 1. Hakuna wahudumu wa kike. Wapo wa kiume ambao wana kauli ngumu kwa wateja / abiria 2. Ndani ya basi unapewa...
4 Reactions
47 Replies
5K Views
Dar es Salaam. Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limewaonya wale wote wanaojihusisha na utapeli wa ajira jeshini kwamba wataendelea kuchukulia hatua kali zaidi. Pia, JWTZ imesema...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Nimemsikia mbunge wa Zanzibar viti maalumu CCM, Faidah Mohammed akitoa hoja juu ya ubakaji. Alivyoeleza kama ni janga kubwa sana kitu ambacho si kweli. Zanzibar ni sehemu yenye ustarabu kuliko...
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Ripoti ya uchunguzi yabaini vyama vya ushirika 40 wilayani Tandahimba kuhusika katika kuchanganya mawe na korosho. Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa ameagiza viongozi wa vyama hivyo...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
[https://3] Watu wanne wanashikiliwa na Polisi Ngerengere, Mkoani Morogoro wakituhumiwa kuhusika na wizi wa lita 2510 za mafuta aina ya Dizeli kutoka kambi ya ujenzi wa reli ya kisasa Standard...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za majumu ndugu zangu Bila shaka umeamka salama Niende moja kwa moja kwe kitu kilichonifanya niweke Uzi huu hapa . Tangu juzi nimekua nikipokea simu kutoka ,mkoa wa kagera wilaya ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu, Leo naomba tujikumbushe maisha ni kipi mnachokumbuka enzi ya Rais mtanashati, mwelewa na mtoto wa mjini ambapo kupata frem Kariakoo ilikua kazi sana tofauti na leo frem za Kariakoo...
7 Reactions
79 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Kheri James amefunguka na kuwazungumzia Jokate na Wema Sepetu katika umoja huo wa vijana wa CCM. Akizungumza katika kipindi cha kikaangoni live kinachorushwa na EATV...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Taarifa zinazosambaa kwa kasi kwenye Mitandao ya kijamii ni kuhusu taarifa za ajali mbaya sana ya basi tajwa linalofanya safari zake kati ya Dar na Karagwe Kagera. RPC Tabora amesema ajali ni...
6 Reactions
89 Replies
25K Views
WEZI WA MAFUTA KAMBI YA RELI YA KISASA (SGR) YA NGERENGERE WAKAMATWA. - TRC Blog
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Nmeingia kwe kasherehe ka ndugu yangu nikaacha kamkweche kangu nje parking ya ukumbi mbali na Barabara. Wamekuja vijana wa TANROAD hawasikii la muadhini wala nini, wanasema nimepaki kwenye...
3 Reactions
76 Replies
7K Views
Wachawi wakuchukua unyayo wa ulipo kanyaga, Basi wanachukua maisha yako yote yaliyobaki na watayachezea kadiri watakavyo. Hapo unapo pamiliki ulipakanyanga Kwanza ndipo ukapamiliki. Polisi hupiga...
5 Reactions
21 Replies
8K Views
Dar es Salaam. Kutokana na kutokidhi masharti ya mfumo wa malipo serikalini (GePG), Vodacom imesitisha huduma za malipo ya Luku kwa wateja wake wa M-Pesa. Mkurugenzi wa mawasiliano wa Vodacom...
1 Reactions
30 Replies
9K Views
Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc inapenda kuwataarifu wateja wake na Watanzania kwa ujumla kwamba, itaendelea kutoa huduma ya ununuzi wa umeme (LUKU) kupitia mfumo wa malipo wa...
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Naomba soma Swali kwa umakini wote kisha utulize sana akili yako ndipo ulijibu kwani huenda jibu lako utakalotoa likakufanya uonekane una IQ nzuri au mbaya na pia kama Wewe una Roho nzuri au una...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Nataka kujua kwamba ni kweli kulitokea hii mvua ya samaki nchini Thailand. Tatizo langu, je ni kweli limetokea na kama ni kweli kivipi? Msaada hapo wanasayansi.
1 Reactions
20 Replies
6K Views
Hivi naomba kuuliza medical science na philosophy ni vitu vinavyoendana?
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Slaam kwenu Waungwana.. Kama picha inavyojieleza, kwa hakika personally imenitia simanzi na kunitafakarisha sana. Lakini kwa upande mwingine imenihamasisha kulipia king'amuzi changu in full kwa...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom