Mfumo mpya wa ununuzi wa Luku

Mfumo mpya wa ununuzi wa Luku

Zogoo da khama

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2013
Posts
640
Reaction score
615
Habarini za jioni
Toka April mosi Kuna mabadiliko katika ununuzi WA Luku na kuona ongezeko la Tran fee 1.1%, sijafahamu maana ya hii fee mpya naomba kujufahamishwa zaidi. Awali nikinunua umeme WA Tzs 10,000 napata unit 28.1 sasa hivi napata unit 27.8 angalia kiambatanisho
WP_20180404_003.jpg
 
Back
Top Bottom