Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Sijui nani alitengeneza Barabara za Tabata. Na sijui kwa nini serikali haijiongezi kua watu Tabata wameongezeka, hii barabara ya miaka ya 70 ipanuliwe watengeneze barabara nyingine. Yaani...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbunge wa Konde (CUF), Khatib Said Haji ameihoji serikali kwanini iitambue BAKWATA kama ndio chombo kikuu cha Waislam Tanzania jambo ambalo halipo hata kwenye kitabu tukufu cha Quran. Mh. Konde...
5 Reactions
55 Replies
9K Views
Mtoto mchanga wa miezi sita amefariki jijini Mwanza wakati mama yake akishikiliwa mahabusu. Inadaiwa kwamba Polisi wa Kituo cha Igogo ndiyo waliopelekea mtoto huyo mchanga akapoteza maisha. Mama...
7 Reactions
102 Replies
11K Views
Jamani naomba mnisaidie wenzangu mimi nikiwa Dar naona juwa linachomoza Kaskazini na kuzama kusini. Je, wenzangu mnaonaje?
0 Reactions
45 Replies
16K Views
Nakumbuka siku nilipoamua kusema nitamtegemea Mungu 100% ktk mtihani wa taifa kidato flani huko nyuma miaka imepita saana. Sitafanya kitu kingize zaidi ya maandalizi halali ya kufa na kupona ya...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Yaani kuna watu wengine ..unawakuta wanaji overwork eti ili wawe na maisha mazuri sana ..hapo akiwalenga watoto wake...watakaozaliwa na waliopo. Lakin Mimi sahv nina nyumba hapa ya vyumba vinne...
2 Reactions
6 Replies
684 Views
Maadui ambao bado Ccm inaendelea nao toka uhuru Ujinga Umaskini Maradhi Ufisadi Ccm wanasema Chadema ni wezi Ccm wanasema Chadema wanatetea mafisadi Je Chadema ndio wezi wetu? Tuhuma hizi...
1 Reactions
1 Replies
636 Views
Habari wakuu! Kuna changamoto naiona kwenye app yangu ya Jf sijajua tatizo ni nini! Ni hivi nikitaka kutafuta kitu/Uzi fulani siipati icon ya "search" tofauti na awali nilikua na uwezo wa kutafuta...
0 Reactions
0 Replies
685 Views
kama wewe ni binti na una miaka 25 au zaidi na hujui kabisa nani atakuoa na hamna dalili, usichukulie poa. Lazima kutakuwa na shida mahali. usinyamaze kimya hakikisha wewe na Mungu mpaka...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!? Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.??? Mbona mnaongea vizur tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!???? Hapa nawazungumzia nyie ambao...
14 Reactions
106 Replies
9K Views
Naomba kuuliza aliyesoma "Procurement" anaweza omba ajira utendaji wa kijiji, kwan sifa mojawapo ya muombaji anawatakiwa awe amesomea usimamizi wa fedha. Je Procurement=Usimamizi wa fedha?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naombeni mnisaidie mbinu kama zile alizotumia Dr Shika ili na mimi nipate kiki ambayo itanisaidia kupata kipato hatimaye maisha yasiwe magumu kama hivi sasa yanavyonipeleka mchaka mchaka. nayasema...
1 Reactions
9 Replies
804 Views
Hapo vip! Mtu mwenye degree ya phamarcia anifuatwe pm ni mpe mchongo.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jirani yangu kapata tatizo leo siku ya tatu hana umeme. Kaenda kutoa taarifa ya tatizo la mita waliomfungia haifanyi kazi hivyo kusababisha kukosa umeme siku ya tatu leo. Wale jamaa wa emergency...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Uraia wako, hakikisha una cheti cha kuzaliwa, cha wazazi, cha mabau na mabibi..na wajulikana na raia viongozi mtaani.. Hauja ajiriwa serikalini, hudaiwi na dola, mabenki.. Biashara zako hufanyi na...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wateja wa continental poleni Inasemekana continental imekufa na kushindwa kujiendesha kwa sababu ya kukosa wateja,fedha, na kudaiwa kodi na TRA Mfano, inasemekana kwamba wamekosa mpaka pesa ya...
3 Reactions
67 Replies
10K Views
Kanisa ni taasisi za kidini za kikristo. Wajibu mkuu wa wa pekee wa kanisa ni kuhubiri injili na kutangaza kuhusu ufalme wa mbinguni. Kuwashawishi watu wamjue Mungu, watu wamrudie Mungu na wawe...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Guys naombeni msaada kwa anaeweza kujua how many airlines fly to east africa na company names(na under the country) Na flight models Help guys....
0 Reactions
2 Replies
684 Views
Hivi ni kwamba hawa wanawake au wanaume ambao wanaish na wapenz wao ambao hawana hela ni kwamba wanasindikizana tu au!? Hiv unapendwaje na huna hela!?? Hushtuki kama unaibiwa!?? Demu hakuombi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Nimejisikia vibaya sana....nasema tena nimejisikia vibaya sana.....namalizia kwa kusema nimejisikia vibaya sana na kupata aibu ambayo kama ' Mwanataaluma ' sijui nitaificha wapi hasa baada ya...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Back
Top Bottom