pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Hiv nyie ndugu zangu mmesoma shule gan!?
Walimu wenu walikuwaje kwenye hizo shule zenu.???
Mbona mnaongea vizur tu lakn mkiandika sijui akili yenu inakuaje!????
Hapa nawazungumzia nyie ambao mnashndwa kutofautisha X na S katika uandishi..
Utaona mtu anaandika
Xaxa akimaanisha sasa
Xawa akimaanisha sawa
Xpend
Xion
Xna
Xamahan
Xko poa
Xorry
Xante
Xio mimi
Xaa ngap!?
Nmexahau
Nna xhida baby
Hapa utalikuta lingne ni dume lina ndevu zake lakin linajifanya nalo ni likijana la sasa linachat kama punguani
Wengne ni masista duu wanapendeza kweli lakin dah...
Mfano mimi ukinitumia sms ya hivyo tu na urafik wetu unaishia hapo hpo usije kuniambukiza ujinga..
Lingne utakuta yeye na mpenz wake wote wanachat hivyo sasa hapo unategemea mtoto akizaliwa akili yake itakuaje!????
Mwalimu Deo kisandu naomba msaada wako..hawa watu wana matatizo gan!?