Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kama wangekuwa ni wajanja na wangekuwa na nia ya kutikisa nchi basi kwa maoni yangu wangewashika Bongo flava na Bongo movie hao ndiyo ambao wangeweza kuamsha halaiki ya Watanzania na kuingia...
1 Reactions
2 Replies
907 Views
Kwa asilimia kubwa wabongo tunatumia mitando ya kijamii kutukana (hasa kipindi hiki cha Magu), kutupia picha za hovyo, kujisifia kwa kutupia mapicha kwenye facebook/insta (mfano mtu kila akivaa...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi ni mpangaji wa muda mrefu hapa kwenye hii nyumba... Nilikuta nyumba haina umeme na mwaka 2004 niliweka umeme... Sasa miaka hii ya karibuni ilivyokuja kuenea luku nimepewa mita ya luku ambayo...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
Mahubiri ya leo Kanisa la KKKT Olasiti Mwinjilisti Moses Malugu amesema alionyeshwa katika ulimwengu wa roho nyoka mkubwa amejikunja sawasawa, katikati ya mkunjo wa yule nyoka kuna shimo, na...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Ndg wana JF habari za weekend? Baada ya spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Ndugai kufafanua juu ya Bunge kushindwa kugharimia matibabu ya Mhe Tundu Lisu Nje ya Nchi Ni ukweli...
5 Reactions
27 Replies
3K Views
Nimejaribu kuchanganya na zangu baada ya kuambiwa sana. Nilichokuja kugundua ni kuwa, wengi wetu tulikua tunategemea matunda kabla ya kupanda au baada tu ya kupanda mwembe. Ili ulile embe...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi ni sawa kuoa kabla hujafanya mapenzi na mwenzi wako? Je ukikuta yuko tofauti na ulivyotegemea utafanyaje?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ndugu zangu ssaimekuwa tishio. Kwa wiki moja sasa shillingi ya Tanzania imeporomoka sana dhidi ya dollar ya Marekani. Serikali mko wapi mkiona hali hii ikiendelea hivi?. Wakati wa Professa Ndulu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Maonesho ya polisi mjin arusha wamefeli kulipua bom walilotega wenyewe kwenye maonesho imebid jamaa aende tena na manguo yake ya kuzuia mabomu.. ngoja tuone
1 Reactions
17 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
926 Views
File:Expansion of Afroasiatic.svg - Wikipedia
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hapa nimepigwa ban lakini sijui kosa langu ni lipi. Alafu nimeshaona siku hizi hamtaki post zinazokosoa serikali. Uzi wangu wa mwisho niliouweka humu ni kuhusu walimu ambao hawakuchangia mwenge...
2 Reactions
0 Replies
802 Views
Wanaume wa Dsm wameshindikana sana! Unakuta mtu mzima kabisa anazurura na mtoto /watoto wake bar. Mbaya zaidi huko bar unakuta ana mamichepuko yake na marafiki zake wahuni wanaotukana hovyo na...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kamati ya Maudhui ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania TCRA leo imetoa hukumu kwa vituo viwili vya radio Times FM na Clouds FM kwa makosa ya ukiukwaji wa Kanuni za Utangazaji za mwaka 2018. Times...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Watangazaji Soudy Brown na Kwisa wamedai wao ndio walimuibua mzee Jumanne Ngoma kutokea kwa wajukuu zake huko Kimara Bonyokwa kupitia kipindi chao cha Shalawadu. Watangazaji hao wamemshukuru Rais...
3 Reactions
55 Replies
6K Views
Kati ya glass a,b,c,d ni ipi unafikiri imebeba kiwango kingi cha maji kulinganishaji na glass zingine? Kwanini?
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Sasa ,,prophets of doom” wamejaa kwenye Mitandao kupinga na kukejeli SGR yetu kwamba ni bure, Shirika letu la Ndege tunatupa fedha, hii inanikumbusha wakati BRT inajengwa hawa prophets of doom...
1 Reactions
2 Replies
796 Views
Hivi ndivyo nilivomjibu tapeli, muda mfupi uliopita. Nasubiria mrejesho wake. Bado kimya
1 Reactions
27 Replies
3K Views
1.Kimboka Buguruni 2.Ununio mkabala na Mahaba Beach 3.Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM ) 4.Coco Beach Oysterbay 5.Chato Airport Mkoani Geita 6.Mkoa wote wa Dodoma kama Mji Mkuu 7.Hospitali ya ‘...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom