Kabla ya kuihoji Serikali ya sasa lazima ujiandae na haya..

mbongowakweli

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
841
671
  • Uraia wako, hakikisha una cheti cha kuzaliwa, cha wazazi, cha mabau na mabibi..na wajulikana na raia viongozi mtaani..
  • Hauja ajiriwa serikalini, hudaiwi na dola, mabenki..
  • Biashara zako hufanyi na dola, unatumia EFD na una vyeti vyote vya biashara, na unalipa kodi bila shuruti..
  • Haupo kwenye vyuo au shule zilizo chini ya serikali..
  • Kama mwanaume, hujatelekeza mtoto na kutompa matunzo stahiki..
  • Unao usalama tosha kwenye boma lako na kwenye mizunguko yako..
  • Siyo mwanachama wa chama cha upinzani..
  • Hujawahi kuvunja sheria huko nyuma, lazima yatafukuliwa..
  • Maneno Mange, CDM, ACT, maandamano, uchumi kudorora, bei juu za bidhaa, Manji, vyuma kukaza, MV DSM-Bagamoyo, Angellah, Bashite, waraka, udikteta, ushamba, samaki wa Magu, Chato Airport, Chenge, Jamii Forum, Nondo, ubabe, miili kwenye viroba, faini za magari barabarani, nyumba za serikali na mengine yanayofanana na hayo, Lissu, yasitoke kabisa kwenye kinywa chako..
  • ...
  • Ongezeni na nyie
 
Hahahahahahaha lakini Ukitaka kushinda Yote hayo Uwe na KADI YA NZI WA CHOONI
 
Mange, CDM, ACT, maandamano, uchumi kudorora, bei juu za bidhaa, Manji, vyuma kukaza, MV DSM-Bagamoyo, Angellah, Bashite, waraka, udikteta, ushamba, samaki wa Magu, Chato Airport, Chenge, Jamii Forum, Nondo, ubabe, miili kwenye viroba, faini za magari barabarani, nyumba za serikali na lissu.
Nimeshataja, waje wanikamate waone nitakachowafanya, pumbavu zao!!
 
Back
Top Bottom