Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Sijui nani alitengeneza Barabara za Tabata. Na sijui kwa nini serikali haijiongezi kua watu Tabata wameongezeka, hii barabara ya miaka ya 70 ipanuliwe watengeneze barabara nyingine.
Yaani barabara nyembembe kama njia ya panya. Alafu ina kona kona nyingi balaa, hua nashindwa kuelewa, hivi barabara ilifuata watu au watu walifuata Barabara? Maana inaonekana kama ilikua inakwepa nyumba za watu.