Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Nani ameibadili rangi? Flag Tanzania Animated Flag Gif
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Huu mfumo mpya wa kununua umeme (LUKU) kutoka kwenye makampuni ya simu na miamala kuingia moja kwa moja serikalini bila kupitia MAX MALIPO au CELCOM si jambo jema kwa ustawi wa wafanyabiashara wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Moshi. Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dk Frederick Shoo, amewataka Wakristo kuwa wajasiri na wathubutu wa kukemea na kuonya pindi yanapotokea maovu na matendo yasiyofaa katika...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nani kafanikiwa kupata salary advance loan? Mwezi huu? Naona NMB chali, vyuma vimekakamaaa
1 Reactions
31 Replies
10K Views
Bila kuficha ukuta uliozungushwa huko Kwenye machimbo ya Tanzanite kama Wachimbaji wanaojulikana kama wanaapolo wataamua kuhujumu basi kazi yote itakuwa ni bure; Inasemekana kwamba...
11 Reactions
49 Replies
10K Views
Ukichunguza katika jamii, utabaini kuwa sehemu kubwa ya matajiri ni wale ambao wana elimu ndogo ama hawakusoma kabisa.[emoji24][emoji24] Katika miji na maeneo yote; wenye majengo ya maana, wenye...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa kiwanda cha pamba cha AHAM kilichopo mjini Shinyanga mkoani Shinyanga Ahmed Ally Amiri amefariki dunia baada ya gari aliyokuwa anaendesha kuacha njia na kutumbukia mtaroni katika...
1 Reactions
29 Replies
7K Views
Hi wanajf! Kuna bosi Fulani kazini ana muandama sana mdogo wangu kazini kwake hana raha kila siku kesi nyingine za kumzushia hana raha kazini. Nimefikiria sana sasa nataka kufukua makaburi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
DAR: Gari Moshi(treni) la Mizigo likiwa linatokea Bara, limepata ajali maeneo ya Mwisho wa Lami - Gongo la Mboto. Baadhi ya Mabehewa yameacha njia Taarifa zaidi kukujia kupitia Uzi huu....
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar ya asubuhi wakuu?? Hapa nililala na ndio nimeamka but kuna kitu kichwan kinatesa since Jana Jana jion nikiwa mizunguko yangu nikakutana na watu katika machimbo yao kadhaa wanajivinjar...
4 Reactions
97 Replies
19K Views
Tunapoendelea kuomboleza na kusikitika na madhila ya ajali ile, kwa upande mwingine napo maaajabu ya Mussa na ajali ya Igunga yanaendelea. Walitokea kina Mwigulu Nchemba kutaka sheria zikiukwe...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Changudoa waongoza kwa kutumia kondomu za kike 2008-08-04 15:54:12 Na Mary Wejja, Jijini Imedaiwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake wanaotumia kondomu za kike, ni wale wanaofanya biashara ya...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wakuu wote wa vyombo vya ulinzi na usalama nchini yaani Mkuu wa Majeshi, IGP na Mkurugenzi mkuu wa Idara ya usalama wa Taifa na Magereza kushiriki kusimikwa kwa Askofu mpya Massawe wa kanisa...
7 Reactions
76 Replies
10K Views
Hayo yametokea Moshi.Dada anadai hawezi kumfanyia mtu kazi usiku kucha kisha asilipwe aamua kumng'ang'ania mteja wake . Je unadhani biashara hii haramu itakwisha? Nini kifanyike?
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Caribian night Club Sinza White inn, inateketea kwa moto Muda huu. Bar ya Carrebean ya Sinza jijini Dar es Salaam imeteketea kwa moto majira ya saa 1 jioni. Kwa mujibu wa mashuhuda moto huo...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini , lakini immune system ya mwili wa mwanadamu ni uwepo wake( presence), ukiwepo ndani ya mwili wako ni kinga thabiti ,,,, musa alikutana na mungu na kuongea naye...
7 Reactions
4 Replies
1K Views
Unakuta mama mtu mzima, ngozi imeshajivuta lakini bado anakimbizana na fashion za mabinti. Kuvaa mavazi ya kischana kama vimini na kuongea maongezi yasiyoendana na umri wake na mengine mengi.Tabia...
9 Reactions
59 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa TAMISEMI Bwana Joseph Kakunda leo alitoa ' mpya ' ya mwaka pale alipopata ' Ajali ' ya Gari barabara Kuu ya Chalinze - Segerea na kunusurika Kifo kisha alipokimbizwa tu Hospitali...
8 Reactions
24 Replies
5K Views
Nimefurahi kuona ubunifu unaofanywa na jiji letu la Dar-es-Salaam ni jambo la kupongeza sana. However mambo Machache ya ushauri ili kuboresha kwa mujibu ya maoni yangu. Moja bus limekaa Kama la...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
ninapokuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa hasa instagram, mara kadhaa huwa nakutana na picha au video fupi za comedian captain khalid anayefanya stand-up comedy katika majukwaa mbalimbali ya...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
Back
Top Bottom