Watatu kati ya sita waliochukuliwa na watu wasiofahamika siku tano zilizopita maeneo ya Kijiji cha Mitumbuuni, Mtambwe Zanzibar, waonekana wakiwa hai katika Kijiji cha Kengeja.
Hivi sasa wako na...
Habari wana jamvi,
Kuna kasumba kubwa katika usafiri wetu huu wa daladala abiria wamejenga tabia ya kuwachukia konda na mwezie dereva.
Imekua kawaida sana kwa watu hawa kusemwa vibaya na baadhi...
1. Mwananchi
2. Jamuhuri
3. Habari Leo
4. RAIA Mwema
Vigezo:
-Habari za uchunguzi wa kina
-kufanya kwa taaluma
-kuandika bila woga
-uzoefu
MAGAZETI MENGINE NI KAMA BENDERA FUATA UPEPO
Ukiangalia sura yake wanafanana, ila si sura tu hadi tabia za kupenda 'kioo', yaani yeye kila tukio anaita waandishi wa habari, halafu mtuhumiwa anamshika kwenye mabega sijui ana maana gani, naona...
Kwanza nimshukuru Mungu kwa kua salama na mweny afya. Pia nitakua nisiye na shukrani kam sitotoa shukrani zangu kwa jamiiforum na hii ni kutokana na mchango mkubwa ninaopata kupitia humu...
Ndugu wanaJF,
Huyu ni Kuku mwenye gharama kubwa zaidi Duniani. Basi unaambiwa kama ukihitaji Jogoo mmojawapo aliyekomaa ili umfuge basi itabidi uwe na Dola za Kimarekani $2000 sawa na Tsh...
Watanzania wenzangu, ni nini tatizo letu katika suala zima la Ukarimu kwa wateja hadi tunakuwa ovyo kiasi hiki?
Tena inasikitisha sana wanaoshindwa kuwa wakarimu ni watu ambao maisha yao...
Wakuu,
Kuna panya wasioeleweka wamevamia mashamba ya Msata wanakula mbegu.
Watu wakipanda mbegu mashambani mwao kabla hazijaota panya hao wanakula hizo mbegu kabla hazijaota.
Haijalishi...
Vijana 6 wa kiume huko Pemba wamechukuliwa jana usiku na watu wasioeleweka na Polisi wanasema hawako mikononi mwao
Tunafwatilia Habari Hii kwa Ukaribu tutawaletea Taarifa zaidi tuzipatapo...
Wakuu habari,
Limekuwepo tatizo kubwa sana katika nchi yetu la viongozi wakubwa kabisa katika ngazi mbalimbali kukutwa na kashfa za ajabu za rushwa au kushiriki katika matukio yasiyo na maadili...
Mtumishi anajilipia gharama za masomo ya kujiendeleza tena Distance learning.
Wewe mkuu wa Idara unamnyima ruhusa mtumishi huyo ya kwenda kufanya mitihani, hivi hizo ni akili kweli?
Wilaya...
Fikiria wakizimika paaa, hlf ghafla hakuna chadema, hatusikii chochote kuhusu wao, bila shaka itapooza na kuboa sana lkn tutazoea kuishi tena bila ujinga na hata wastani wa IQ nchini mwetu...
Habari zenu ndugu zangu wa JF
Nazani mtakumbuka mara ya mwisho kama sio wiki iliyopita nilileta hapa uzi wa public toilets kuwa na gharama kubwa sana hususani pale kituo cha daladala Mbezi mwisho...
Habari za jioni wandugu! Napenda kuelewa je Tanesco wamepandisha bei ya umeme kwani nyuma kidogo umeme wa 8,000 nilikuwa napata unit 65 ila leo nimenunua nimepa unit 57 kwa bei hiyohiyo.
Sent...
Kijana CLINTON BALOZI alipata ajali ktk busi la city boy inasadikika alitokea Kanyanga kwenda Kyerwa, yupo hospitali Bugando Mwanza ndugu zake hawajapata habari
Kwa yeyote anaye mfahamu kija...
Hili swali kwangu limekosa majibu, watu wa nchi yetu waishio mipakani wamekuwa wakisumbuliwa na vyombo vyetu vya Usalama khs uhalali wa Uraia wao na hata sisi wenyewe kama jamii tumekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.