duuuh...!!!Hapanaa usimamiz wa fedha anamaanisha uhasibu
Mkuu kama kigezo ni uwe umesomea usimamizi wa fedha basi ni lazima uwe umesoma finance management; japokuwa Accountancy na Procurement wote wana somo la finance management ndani ya course zao japo hawaingii deep kama wanaosoma BCom in Finance au BaFNaomba kuuliza aliyesoma "Procurement" anaweza omba ajira utendaji wa kijiji, kwan sifa mojawapo ya muombaji anawatakiwa awe amesomea usimamizi wa fedha. Je Procurement=Usimamizi wa fedha?