Nifanye mbinu gani ili nitokelezee kama Dr shika

ulaya12

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2017
Posts
834
Reaction score
909
Naombeni mnisaidie mbinu kama zile alizotumia Dr Shika ili na mimi nipate kiki ambayo itanisaidia kupata kipato hatimaye maisha yasiwe magumu kama hivi sasa yanavyonipeleka mchaka mchaka. nayasema haya kwa dhati kabisa kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu na atakayeleta utani katika ombi langu hili nitalala naye mbele
 
Napita, nikirudi nitakushauri [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
ukitaka maisha mazuri-jiunge CCM kisha ukasafishe viatu vya bashite,kama bashite alivyo fanya kwa RIZ 1
 
Naombeni mnisaidie mbinu kama zile alizotumia Dr Shika ili na mimi nipate kiki ambayo itanisaidia kupata kipato hatimaye maisha yasiwe magumu kama hivi sasa yanavyonipeleka mchaka mchaka. nayasema haya kwa dhati kabisa kwani msema kweli ni mpenzi wa mungu na atakayeleta utani katika ombi langu hili nitalala naye mbele
Jitoe akili umtukane sana mbowe na CDM utapata mtaji
 
Ita vyombo vya Habari Mtukane kuu. Ila baada ya hapo chichemi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom