pathfinder_tz
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 356
- 377
Hivi ni kwamba hawa wanawake au wanaume ambao wanaish na wapenz wao ambao hawana hela ni kwamba wanasindikizana tu au!?
Hiv unapendwaje na huna hela!?? Hushtuki kama unaibiwa!??
Demu hakuombi hata hela na wewe unajisifia demu wangu haombi hata hela lakini anavaa na kupendeza na saloon kila week!!
Sio bure kuna ndumba umemuwekea..na ndumba ikiisha tu ndio yale ugomvi wake hamuongei tena..
We upewe papuch tu, bure bure tu na we unasimamia ukucha mhhhh kapimwe akili..
Mi demu usiponiomba hela navizia nakuwekea kwenye poch yako.. au naenda kwa wakala nakutumia..
Ndio ile inakuwaga ukijua demu wako anamegwa unageuka mbogo mkali kama nini.. haujiuliz ulikuwa unampa nini!???
Mi kama simpi hela demu wangu na bado ananipenda siku nikimfumania naweza hata kumuamkia na yule mtu ntamuita shemej..sa ntafanyajee!?