Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Aise hii sio RUSHWA ni hatar hasa waliokuwepo Jana zamu Hawaogopi hata kidgo Tafadhali sanaaa kabla hatujawarekodi na kukutumia video watu hawa waamishe hapo.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Anataja kazi za TLS. Anasema ni pamoja na KULINDA WANANCHI. Mwandishi anaemhoji (Jamal) ana wakati mgumu.
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimeona kwenye luninga ya Star kuna tangazo la kipindi chao kipya kiitwacho Agenda 2020. Katika tangazo hilo wamemtoa Rais Magufuli, kisha Lowassa wakiwa kwenye kampeni za urais 2015. Mwisho...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
wakazi wengi watoto wa mkoa wa dar wanasoma shule za kawaida wakikutana na changamoto nyingi sana wakati wa kwenda shule na kurudi kwa ajiri ya adha ya usafiri. kwa hali ilivyo ningeshauri shule...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani kumekuwa na tatizo la fisi kupita kiasi kanda ya ziwa mbaya zaidi zinatafuna watu na hasa mifugo mpaka kufikia pasaka mbuzi na kondoo 6 za nyumbani zilishatafunwa Serikali ya mkoa Simiyu...
0 Reactions
26 Replies
5K Views
Kwa mvua zinazoendelea kunyesha nilitegemea kuona tahadhari za mara za mara kwa mara kwenye vyombo vya habari mitandao ya kijamii nk lakini nasikitika kuna kamati ya maafa ya taifa iliyochini ya...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Samala wana Jamvi poleni na kazi za hapa na peke Naomba msaada anayepafahamu/ aliyepo iko kijiji ani pm plz
0 Reactions
41 Replies
7K Views
Wengine majanga wengine faraja!
0 Reactions
0 Replies
778 Views
Mkuu wa Jeshi la polisi Mtwara RPC Lucas Mkondiya ameanzisha campain kuwahamasisha vijana kujishughulisha na mambo ya maendeleo na siokujiingiza ktk maandamano. Akizungumza leo Mtwara Lutheran...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Niwe specific kabisa siwatetei wanaume wanaowatelekeza wanawake baada ya kuwapa mimba au kukimbia familia, Mh. RC Makonda ameanzisha kitu kizuri sina uhakika kama pale ni sehemu sahihi kuliko...
10 Reactions
60 Replies
8K Views
Dada Fatma, awali ya yote nikupongeze kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa chama cha mawakili Tanzania (TLS), nina amini viatu vya Tundu Lissu vimepata mvaaji anayestahili. Dada Fetty, ninaandika...
14 Reactions
31 Replies
4K Views
Dawa za kuua viluwiluwi wa mbu waenezao maleria zilizonunuliwa na Rais John Magufuli kwa Shilingi bilioni 1.3 zimefungiwa stoo badala ya kugawanywa kwa wananchi kama ilivyotarajiwa Dawa hizo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nashauri mjukuu wangu Mondi aende akaombewe!. Mwisho wake ni hatari. Mambo haya huwa hayaachi mtu salama.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Paul makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar ambaye amepataa umaarufu mkubwa sana kutokana na utendaji wake wa kazi. Sijajua kwanini ila nimetamani siku Makonda akiondolewa mkoa wa Dar es Salaam...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
13 Reactions
148 Replies
20K Views
Mtoto wa tajiri Sultan Hemedi Nasoro(Chapa), mmiliki wa basi za HBS, ajiua kwa kujipiga risasi asubuhi hii nyumbani kwake Sikonge. ======= Taarifa zaidi zinadai kijana huyo amejiua kwa sababu...
3 Reactions
238 Replies
51K Views
Wajamen Niulize tu wajameni. Mafuriko Jangwani sasa ni jambo la kawaida. Na inaelekea huko maji yanakokwenda, mikoko ya Kinondoni na Salender Bridge, maji hayaendi. Mikoko imezuia udongo...
1 Reactions
3 Replies
852 Views
Mvua inaponyesha watu wengi huwa wanatafuta mahali pa kujificha hiyo mvua ili wasilowane na mvua lakini ni tofauti sana wanawake wengi ambao mara nyingi hata mvua inponyesha wao huendelea na kazi...
2 Reactions
11 Replies
6K Views
Takriban walimu 80 waliokuwa wakifundisha shule za sekondari na baadaye kuhamishiwa shule za msingi katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, wameandama hadi Ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Salamu wakuu,mimi ni kijana wa kiume(21)ninaishi mkoani Iringa.namshukuru MUNGU amenijaalia kipaji cha mziki na mpaka hapa nilipo naweza kutumia vyombo vya mziki (kinanda na magitaa aina zote)na...
2 Reactions
26 Replies
11K Views
Back
Top Bottom