pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 312
- 616
Kwa mvua zinazoendelea kunyesha nilitegemea kuona tahadhari za mara za mara kwa mara kwenye vyombo vya habari mitandao ya kijamii nk lakini nasikitika kuna kamati ya maafa ya taifa iliyochini ya ofisi ya waziri mkuu hatujasikia lolote mpaka sasa matokeo yake barabara unatoka nyumbani unakutana na dha ambayo hukuitegemea watu wanasombwa na maji tuache siasa jamani press release za teua tengua ndo nyingi haya ni maisha ya watanzania