Na hizo bima nani mfadhili??Urafiki no more, wamezichoka demands za mwenye mkoa
Kwani Sheria ya mazingira inasemaje juu ya uvamizi wa maeneo ya hifadhi?Wale wamiliki wa Home shopping centre Danube na baby shop wanatuhumiwa kujenga nyumba kwenye eneo la bahari
Urafiki no more, wamezichoka demands za mwenye mkoa
Hahaha sawa kutesa kwa zamu... jamaa wamejitoa sana lakini jamaa haridhiki! Dada kule insta anasema jamaa kawekwa ndani Mara baada ya kutua nchiniBiashara si kivile na wamepewa jukumu la kujenga misikiti ya BAKWATA, Haya yote yamekuja baada ya kusema hawawezi
Nani wa kumfunga paka kengele?Nyumba ivunjwe eneo libations huru
Wamejenga hospitali ya mama na mtoto na inaitwa Paul Makonda Hospital sasa wanatakiwa wajenge misikitiHahahahaaaa
Ndio nawafundisha wafanyabiashara wapya kila siku,do not mix politics with business!
Faida ni very short term na politicians hua ni vultures,they will always comeback for more out of you!Sasa imagine mwanasiasa mwenyewe awe matamaa kama Makonda,just imagine!
Wamejenga hospitali ya mama na mtoto na inaitwa Paul Makonda Hospital sasa wanatakiwa wajenge misikiti
Nadhani haya yote yana mikataba ya siriWamejenga hospitali ya mama na mtoto na inaitwa Paul Makonda Hospital sasa wanatakiwa wajenge misikiti
Wamuulize yule aliyemtupia nguo zake akiwa konda kwenye gari, ana siri nzitoHahahahaaaa