Fatuma Karume ndani ya MORNING TRUMPET ya Azam 2

Fatuma Karume ndani ya MORNING TRUMPET ya Azam 2

Slim5

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Posts
28,440
Reaction score
38,437
Anataja kazi za TLS. Anasema ni pamoja na KULINDA WANANCHI. Mwandishi anaemhoji (Jamal) ana wakati mgumu.
 
Jamal Hashim alitaka kumchomekea vile alivyoandaliwa kumbana Fatma akakumbana na mwamba matokeo yake yeye mwandishi wa habari ndiye akawa ajibu maswali ya Rais wa TLS
 
Back
Top Bottom