Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Wakati wa mvua, huwa ni kawaida kwa radi kutokea na kila mwaka watu huuawa katika maeneo mbalimbali duniani baada ya kupigwa na radi. Jumamosi, watu 16 waliuawa radi ilipopiga kanisa moja la...
17 Reactions
83 Replies
17K Views
Ningependa kuelimishwa. Hivi hasa ni watu gani wanatakiwa kwenda kwa Makonda kulalamika kutelekezwa; Wanawake wenye watoto wadogo chini ya miaka 18 wanaohitaji msaada toka kwa wanaume...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
GENTAMYCINE sitochoka kamwe kusema kwamba Tanzania ya sasa imefikishwa hapa ilipo kwa kuwa nyuma hivi Kimaendeleo kwa sababu ya kuendekeza Siasa zetu za ‘ Kipuuzi ‘ na kudharau Taaluma na Uweledi...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Siyo Siri sasa mmetukamata wengi tu na tuliokuwa tumepotea kwa muda mrefu / kitambo sasa tumeanza kufungasha ' Virago ' vyetu kutoka katika yalikokuwa makazi yetu ya kudumu kama vile Mlimani...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu.. Naandika mada hii kwa huruma kubwa sana kwa kada ya walimu. Nimekuwa nikisikia lile zoezi la kuwapeleka walimu wa masomo ya "sanaa" shule za msingi kutoka sekondari, nadhani na...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Yaani tunaacha kujadili vitu vya maana lakini tokea jana hadi leo na nahisi hata Kesho kama siyo Keshokutwa ' mjadala ' uliopo na unaoendelea sehemu mbalimbali za nchi ni kuhusu ' Mpambe ' wa Rais...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kuna mjadala mzito unaendelea juu ya ile clip ya monalisa akitoa shukran baada ya kutokea tuzo kwa niaba ya mkulu. Kuna wanaodai kuwa ile clip sio ya ukweli kutokana na mazingira alafu na jinsi...
1 Reactions
62 Replies
9K Views
Leo wakazi wa Keko Magurumbasi , Keko Mwanga , Keko Machungwa na wale wanaoishi nyuma ya Gereza la Keko , wanaishi juu ya paa za nyumba kwa sababu ya njaa na tamaa ya kikundi kidogo chenye mamlaka...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Najua Wanasheria wapo wengi sana hata wanahabari pia wamejaa, ila kwenye mambo ya Uchumi sijawahi kuona mtu wa chadema akijitokeza kuongelea hali ya Kiuchumi, iwe Bungeni au hata kwenye vyombo vya...
0 Reactions
4 Replies
836 Views
Mambo muhimu ya kuhakikisha usalama wako mvua inaponyesha Mvua kubwa imekuwa ikinyesha maeneo mengi Afrika Mashariki na kusababisha uharibifu wa mali na vifo. Wengi wao wamefariki wakisafiri...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Serikali imekuwa ikitangaza Sera ya kuanzisha viwanda vidogo ,kimsingi Sera hii haina ukweli na inatia mashaka,Leo nimetoka dar salaam nimefika makao makuu ya nchi na kufika manispaa ya dodoma na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali imeeleza kuwa inalinda thamani ya Shilingi kwa kudhibiti mfumuko wa bei ya huduma na bidhaa, kuhamasisha usafirishaji na uuzaji wa bidhaa zilizoongezwa thamani nje ya nchi kupitia program...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
UDART maarufu kama Mwendokasi, imemaliza mkataba na Max Malipo Africa wa kutoa huduma ya ukusanyaji mapato ya tiketi za mabasi ya mwendokasi. Akizungumza na Waandishi wa habari, Msemaji wa UDART...
10 Reactions
179 Replies
30K Views
Serikali kuwaruhusu Wananchi kwenye eneo la bonde la Mto msimbazi ni ukiukwaji wa makubaliano ya kimataifa ya Ramsar hasa katika kipengele cha maeneo ambayo ni njia za asili za maji kupita...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Serikali imeahidi kuboresha miundombinu na fursa nyingi za kiuchumi katika maeneo ya vijijini ili kuweka mazingira bora na salama yatakayovutia wawekezaji katika sekta mbalimbali hususani Sekta...
0 Reactions
0 Replies
975 Views
Sijajua ni nini haswa kimesababisha ongezeko la watu wenye matatizo ya ugonjwa wa akili. Kwa muda wa kama miezi mi 8 hivi nilifanikiwa kutembelea mikoa kama mi 5 hivi kwenye shughuli zangu za...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mwenye taarifa lini udahili utaanza anijuze.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ingawa serikali yetu nayo inahusika kwenye upuuzi huu wa kuacha watu wajenge kwenye mkondo wa maji wakijua fikia kuwa siku ikifika ni mauti kwao, wakazi wa bonde la Msimbazi hawapaswi kutuumiza...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Asasi ya Umoja wa Mataifa iliyosajiliwa Tanzania, maarufu kama United Nations Association of Tanzania (UNA Tanzania), taasisi yenye jukumu la kuzileta kazi za Umoja wa Mataifa karibu na Watazania...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Oparesheni Barakuda “Hillary Clinton alipotembelea Jamhuri ya Kidemokrasia ya watu Kongo (DRC) Agosti, 2009 aliwashangaza raia wa Kongo alipowaambia wasahau yaliyopita wasonge mbele. Swali ni...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom