Anayepafahamu vizuri Simiyu kijiji cha Kalemela

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,175
Reaction score
3,221
Samala wana Jamvi poleni na kazi za hapa na peke

Naomba msaada anayepafahamu/ aliyepo iko kijiji ani pm plz
 
Kwa kifupi kalemela ni kijiji kilichopo usukukumani karibia na ulyakuluu ambapo huko wahutu na watusi waliokimbia vita vya burundi ila kwa sasa nasikia wakimbizi hao walipewa uraia kipindi cha kikwete na wamejiunga katika kabila la wasukuma kwa sababu wamechanyika na wasukuma wamekuwa kama ndugu.

Ukifika urambo ulizia barabara ya ulyakuluu iko wapi ukifika maeneo ya hapo chukua pikipiki elfu moja sio mbali sana nadhani kwa wale ndugu wa urambo wanapajua vizuli ukifika tabora
 
Unataka kuniambia tabora na karemela ni Karibu sana??
 
Kwa kifupi kalemela ni kijiji kilichopo usukukumani karibia na ulyakuluu ambapo huko wahutu na watusi waliokimbia vita vya burundi ila kwa sasa nasikia wakimbizi hao walipewa uraia kipindi cha kikwete na wamejiunga katika kabila la wasukuma kwa sababu wamechanyika na wasukuma wamekuwa kama ndugu.

Ukifika urambo ulizia barabara ya ulyakuluu iko wapi ukifika maeneo ya hapo chukua pikipiki elfu moja sio mbali sana nadhani kwa wale ndugu wa urambo wanapajua vizuli ukifika tabora
Tabora tena!!! mimi nilijua hicho kijiji kipo wilaya ya busega mkoani simiyu!!!!
 
Nimeuliza tu, naulizia kijiji cha karemela mkoa wa simiyu
Ndo maana nimeshangaa mkuu kwa mchangiaji hapo juu.

Nilitegemea aseme kwamba kama ni simiyu yeye hapajui anapajua Tabora,

Hicho kijiji kipo Busega mkuu, fika buzuruga stand mwanza panda gari za kwenda Lamadi, Bariadi au zile za njia ya musoma wambie wakushushe karemela!
 
Kaka kama unapajua vizuri njoo pm mara moja Nina shida ya kujua vitu flaniflani pale
 
Kwa kifupi kalemela ni kijiji kilichopo usukukumani karibia na ulyakuluu ambapo huko wahutu na watusi waliokimbia vita vya burundi ila kwa sasa nasikia wakimbizi hao walipewa uraia kipindi cha kikwete na wamejiunga katika kabila la wasukuma kwa sababu wamechanyika na wasukuma wamekuwa kama ndugu.

Ukifika urambo ulizia barabara ya ulyakuluu iko wapi ukifika maeneo ya hapo chukua pikipiki elfu moja sio mbali sana nadhani kwa wale ndugu wa urambo wanapajua vizuli ukifika tabora
Mbona unampoteza mwezio?
 
Kalemela iko along Musoma to Mwanza Road. Ukiwa Mwanza Panda gari za kwenda Lamadi, Bunda,Tarime, Musoma nk. Kalemela iko Mwambao wa Ziwa Victoria ukiwa unatokea Mwanza ukivuka Nyamikoma then Kalemela ndo kituo chako kifuatacho.
 
Kwa kifupi kalemela ni kijiji kilichopo usukukumani karibia na ulyakuluu ambapo huko wahutu na watusi waliokimbia vita vya burundi ila kwa sasa nasikia wakimbizi hao walipewa uraia kipindi cha kikwete na wamejiunga katika kabila la wasukuma kwa sababu wamechanyika na wasukuma wamekuwa kama ndugu.

Ukifika urambo ulizia barabara ya ulyakuluu iko wapi ukifika maeneo ya hapo chukua pikipiki elfu moja sio mbali sana nadhani kwa wale ndugu wa urambo wanapajua vizuli ukifika tabora
Ulivyoelezea kama vile unapajua...kalemela ipo mbele ya magu kama unatokea mwanza njia ya kwenda lamadi.nadhani ni katownship ka mwisho kabla ya lamadi .
 
Kwa kifupi kalemela ni kijiji kilichopo usukukumani karibia na ulyakuluu ambapo huko wahutu na watusi waliokimbia vita vya burundi ila kwa sasa nasikia wakimbizi hao walipewa uraia kipindi cha kikwete na wamejiunga katika kabila la wasukuma kwa sababu wamechanyika na wasukuma wamekuwa kama ndugu.

Ukifika urambo ulizia barabara ya ulyakuluu iko wapi ukifika maeneo ya hapo chukua pikipiki elfu moja sio mbali sana nadhani kwa wale ndugu wa urambo wanapajua vizuli ukifika tabora
Wewe ni mwongo kama baba Fulani!
 
Back
Top Bottom