Kwa mvua zinazoendelea kunyesha nilitegemea kuona tahadhari za mara za mara kwa mara kwenye vyombo vya habari mitandao ya kijamii nk lakini nasikitika kuna kamati ya maafa ya taifa iliyochini ya...
Mkuu wa Jeshi la polisi Mtwara RPC Lucas Mkondiya ameanzisha campain kuwahamasisha vijana kujishughulisha na mambo ya maendeleo na siokujiingiza ktk maandamano.
Akizungumza leo Mtwara Lutheran...
Niwe specific kabisa siwatetei wanaume wanaowatelekeza wanawake baada ya kuwapa mimba au kukimbia familia, Mh. RC Makonda ameanzisha kitu kizuri sina uhakika kama pale ni sehemu sahihi kuliko...
Dada Fatma, awali ya yote nikupongeze kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa chama cha mawakili Tanzania (TLS), nina amini viatu vya Tundu Lissu vimepata mvaaji anayestahili.
Dada Fetty, ninaandika...
Dawa za kuua viluwiluwi wa mbu waenezao maleria zilizonunuliwa na Rais John Magufuli kwa Shilingi bilioni 1.3 zimefungiwa stoo badala ya kugawanywa kwa wananchi kama ilivyotarajiwa
Dawa hizo...
Paul makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar ambaye amepataa umaarufu mkubwa sana kutokana na utendaji wake wa kazi.
Sijajua kwanini ila nimetamani siku Makonda akiondolewa mkoa wa Dar es Salaam...
Mtoto wa tajiri Sultan Hemedi Nasoro(Chapa), mmiliki wa basi za HBS, ajiua kwa kujipiga risasi asubuhi hii nyumbani kwake Sikonge.
=======
Taarifa zaidi zinadai kijana huyo amejiua kwa sababu...
Wajamen
Niulize tu wajameni.
Mafuriko Jangwani sasa ni jambo la kawaida.
Na inaelekea huko maji yanakokwenda, mikoko ya Kinondoni na Salender Bridge, maji hayaendi.
Mikoko imezuia udongo...
Mvua inaponyesha watu wengi huwa wanatafuta mahali pa kujificha hiyo mvua ili wasilowane na mvua lakini ni tofauti sana wanawake wengi ambao mara nyingi hata mvua inponyesha wao huendelea na kazi...
Takriban walimu 80 waliokuwa wakifundisha shule za sekondari na baadaye kuhamishiwa shule za msingi katika wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, wameandama hadi Ofisi ya Mkurugenzi wa halmashauri...
Salamu wakuu,mimi ni kijana wa kiume(21)ninaishi mkoani Iringa.namshukuru MUNGU amenijaalia kipaji cha mziki na mpaka hapa nilipo naweza kutumia vyombo vya mziki (kinanda na magitaa aina zote)na...
Chama cha mawakili (wanasheria) TLS ni chama kinachojielewa zaidi nchini hakiogopi kuchagua kiongozi aliye kinyume na serikali kimsimamo kwa hili ndio maana wanafanikiwa sana mpaka sasa wanaofisi...
Ni aibu na fedheha kubwa kuona Walimu waliohamishwa toka Sekondari kwenda shule za msingi mpaka leo hawajalipwa stahiki zao.
Kama uhamisho wao haukuwa kwenye utaratibu kwanini TAMISEMI ilibariki...
Usiku Mkubwa wa Kuamkia Leo tarehe 15.4.2018 huku Mvuwa Kali ikinyesha bila ya huruma Vijana 3 waliotekwa na Watu Wasi julikana Wametupwa maeneo mawili tofauti na kuokotwa na Wasamaria wema na...
Wengi tunajua tunavyoumia pale tunapoagiza magari hususani kupitia bandari ya dare es sallam ilivyo ghali na kodi kubwa
Lakini inasemekana kuna nchi jirani ambao kwao ni neema tu kwani wakati...
Kwa masikitiko na uchungu mkubwa napenda kutangaza kifo cha mama yangu mzazi (mama aliyenilea kwa kuuza uji) kilichotokea usiku wa leo kwenye hospitali ya The Madras Medical Mission - Chennai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.