Tatizo la fisi mikoa ya usukumani

Tatizo la fisi mikoa ya usukumani

Mzee Saliboko

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2018
Posts
1,326
Reaction score
1,041
Jamani kumekuwa na tatizo la fisi kupita kiasi kanda ya ziwa mbaya zaidi zinatafuna watu na hasa mifugo mpaka kufikia pasaka mbuzi na kondoo 6 za nyumbani zilishatafunwa Serikali ya mkoa Simiyu inajua nazungumzia hili eneo ninaloishi Malampaka-Maswa imebidi nipaze sauti humu.Tusaidiwe
 
Waache usiwabugudhi fisi hao, chama chetu kilipata kura nyingi sana ukanda huo kwa sababu hiyo suala tajwa liko nje ya uwezo wa mkuu wa mkoa!
 
Ni malampaka hapo hapo au vijiji vilivyozunguka malampaka?
 
  • Jamani kumekuwa na tatizo la fisi kupita kiasi kanda ya ziwa mbaya zaidi zinatafuna watu na hasa mifugo mpaka kufikia pasaka mbuzi na kondoo 6 za nyumbani zilishatafunwa serikari ya mkoa simiyu inajua nazungumzia hili eneo ninaloishi Malampaka-maswa imebidi nipaze sauti humu.
  • Tusaidiwe
Hicho ni kivutio cha CCM ktk mikutano ya hadhara!
 
  • Jamani kumekuwa na tatizo la fisi kupita kiasi kanda ya ziwa mbaya zaidi zinatafuna watu na hasa mifugo mpaka kufikia pasaka mbuzi na kondoo 6 za nyumbani zilishatafunwa serikari ya mkoa simiyu inajua nazungumzia hili eneo ninaloishi Malampaka-maswa imebidi nipaze sauti humu.
  • Tusaidiwe
Mmewafuga wenyewe. MBITIYAZA nduguzo wanalia, eti ihamie Nyambitilwa
 
Ha haa

Ila Kiswahili chako hakiko sahihi ki-ngeli za nomino
 
zinatafuna=wanatafuna

Zilishatafunwa=walishatafunwa/walishaliwa

Kondoo 6 za nyumbani=kondoo 6 wa nyumbani
 
Kwanini msitumie silaha za jadi kukabiliana na hao viumbe.....!!?
Sio suluhisho sio vizuri kuua ndio maana middle east na ulaya wanyama waliisha kwa mbinu hio

Fisi wakiisha ukanda wa ziwa huoni watahitaji kutembea makilomita hadi kaskazini kutalii

Tanapa waitwe wawakamate hao fisi wawapeleke mbugani
 
Yataka moyo
 
Back
Top Bottom