Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu mnaoongoza serikali wekeni lami barabara hii muhimu kule Mufindi. Barabara hii inaunganisha maeneo muhimu ya uzalishaji yenye viwanda kv:- 1. Kiwanda cha Karatasi Mgololo 2. Kiwanda cha...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nimeona kwenye insta,Maulid kitenge,akiwa anasoma magazeti,huku akiwa ndani ya chumba kinachoonesha ni studio ya VOA,je ni kweli kahamia huko,mwenye taarifa atujuze
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Maisha ni haya haya kama yalivyo! Raha na utamu wa maisha ni ujanani. Kuwa na pesa uzeeni ni upumbavu uliokomaa sana! Unatafutaje hela ikiwa umeshazeeka?! Ndo haya mambo watu wakistaafu na...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Mtu akiwa ndani ya CCM anaonekana Fisadi.... Mtu huyo huyo anayeonekana Fisadi akiwa ndani ya CCM akihamia CDM anaonekana msafi... :bange::A S-coffee::A S-confused1:
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Dar es Salaam. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema, wapo wanaume wanaomtukana na kumkejeli baada ya kuanzisha kampeni hiyo ya kuwasaidia akinamama waliotelekezwa. Hata hivyo...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna uzi moja ulianzishwa kipindi cha nyuma ukimuongelea huyu mpambe. Nilimtetea kwa kiasi kikubwa kwa kuzingatia kwamba Rais Magufuli ni Rais ambaye yupo tofauti kabisa na marais waliomtangulia...
5 Reactions
86 Replies
19K Views
Kumekuwa na fikra mbaya sana kwetu sisi watanzania kwamba mtu akiwa tajiri ni mwizi. Tumekuwa tukishangilia kila tajiri akisulubishwa na kusahau tunaangamiza uchumi wetu. Watanzania tunatakiwa...
3 Reactions
13 Replies
1K Views
:' yajayo yanafurahisha " tuorodheshe matukio mazuri yatakayokuja tanzania na ulimwenguni iwe katika nyanja ya siasa teknolojia na anga za juu Mie naanza na tanzania baada ya miaka 30 itakua...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kumekuwa na mawazo na shutuma mbalimbali juu ya Mkuu wa KKKT Askofu Dr. Fredrick Shoo kuhusiana na tamko la KKKT. Vipo vigatezi na vyanzo vingine vya habari ambavyo vimeandika vikimtuhumu Mkuu wa...
35 Reactions
87 Replies
12K Views
Makonda alisema hatua hiyo imefikiwa na wanasheria na maofisa ustawi wa jamii baada ya kuhoji wanaume waliodaiwa kuwatelekeza watoto, katika malalamiko yanayoendelea kutolewa na wanawake kuanzia...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Inasikitisha kila kukicha tunasikia watoto wa kike wenye umri mdogo wakiendelea kubakwa duniani. Kwa mfano mtoto wa kike wa miaka 8 aliebakwa juzi kwa siku 8 ndani TEMPLE
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Baraza la Vyombo vya Habari nchini, Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, na Muungano wa Watetezi wa Haki za Binadamu kwa pamoja wamewasilisha malalamiko dhidi ya Sheria ya Huduma za Habari namba...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MAISHA ya mwanadamu ni siri ya Mola wake na akiamua kuyakatisha, basi hakuna mwanadamu wa kubisha! NDOTO ZAYEYUKA Ndivyo ilivyotokea baada ya kuyeyuka kwa ndoto za bwana harusi mtarajiwa...
7 Reactions
69 Replies
10K Views
TANGAZO Mkurugenzi wa Mji wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro ana wataka wananchi wote walio panda zao la Mahindi na Alizeti wayafyeke kuanzia tarehe 9/04/2018 hadi 15/04/2017 endapo hawatafanya...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Huwa nashangaa sana, unamkuta Mtu kaamua kabisa kutangaza Vita dhidi ya Serikali basi unafikiri kajipanga kumbe hamna kitu. Mfano yule Mkenya Miguna mpaka akaanzisha kundi la uasi lenye lengo la...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Rejea tu Kichwa cha habari hapo juu kisha karibu katika utiririkaji na usererekaji wako. Kuna tofauti kubwa sana naiona kati ya Walinzi wa Marais Trump, Putin pamoja na Waziri Mkuu wa Israeli...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
karikoo hakuna umeme toka mchana mpaka mida hii ===== SHIRIKA LA UMEME TANZANIA (TANESCO) TAARIFA KWA WATEJA WETU WALIOUNGANISHWA KWENYE GRIDI YA TAIFA Shirika la umeme Tanzania (TANESCO)...
0 Reactions
285 Replies
22K Views
Hello JF, Kielimu na nchi nyingine lets say western countries tunachotofautiana; Ni culture ya kujisomea vitabu, Tangia umri mdogo watoto wao wanaongozwa kusoma vitabu na kwenda library...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Anaandika Daktari Mpya mtaani aliyemaliza mafunzo ya utaraji (internship). "Jina kubwa" kuliko wallet. Unakutana na classmate wako wa o level anakuita kiongozi, mkuu, kamanda na anaenda maili...
32 Reactions
170 Replies
24K Views
Binadamu wengi wamejaa ubaguzi tu ....Mfano misikitini na kanisani ...utakuta wanahubiri Kusaminiana kwa mtu aliyenacho na asiyenacho . Yaan tajili kwa maskini. Lakin cha Ajabu wale wenye Fedha...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom