Haya ni maswali mara nyingi yanamfaa shemeji yangu mshana jr.
Kifupi mfuo kwa wale wasioelewa ni chumba ambacho hutumika kuoshea maiti,huchimbwa shimo ndani ya chumba,kwa watu wa vijijini bado...
Nimekuwa nikitafakari suala hili lakini bado nakosa majibu. Kwa nini vijana wengi toka Ethiopia wanakimbilia Afrika Kusini ili hali Ethiopia ina kila kitu. Nchi ya Ethiopia ina sifa zifuatazo:-...
Ni utaratibu wa Jeshi la Polisi kumuita mtu ambaye lina shaka kuwa amevunja sheria na kufanya naye mahojiano na baadaye kuchukua maelezo yake kama linaona kuna haja ya kuendelea na hatua nyingine...
Naomba wenye taarifa ya ile sheria ya umri wa kustaafu madakitari bingwa kwa lazima i.e. miaka 65 wanijuze kama sheria hiyo imeishaanza kutumika au ni lini inategemewa kuanza kutumika...
Wanabodi salaam,
Leo nimekutana na mshangao, eti mabasi ya mwendokasi kutoka Morocco kwenda Kimara direct mwisho ni saa10 jioni, baada ya muda huo ukitaka kutumia route ya Kimara-Morocco...
kwa maelezo ya mama mzazi wa mtoto alikuwa akiishi vizuri na mumewe uhamiaji wakaja kumfurusha nchini kwa nguvu. Hapa kuna kila dalili ya rushwa kutamalaki. Pia wachina wachunguzwe inawezekano...
Nimesoma kwenye magazeti na JamiiForums kuhusu kusimamishwa kazi kwa Maafisa wa NEMC kuwa walitumia madaraka yao vibaya kwa kukifungia kiwanda hicho kwa sababu walikuwa na vibali vyote vya...
Leo Asubuhi nikiwa nafuatilia kipindi cha kumekucha kupitia Runinga yetu pendwa ya ITV kipindi ambacho hupitia vichwa vya Magazeti mbalimbali,Cha ajabu Bw.Mpayo alisoma gazeti moja akisema...
Jeshi la Polisi Mkoani Mtwara linawashikilia wanafunzi 9 wa Chuo Kikuu cha Stella Maris na Daktari wa Hospitali ya Mission Nanyamba, wakituhumiwa kutumia mitandao ya kijamii ikiwamo WhatsApp na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameziomba mamlaka za elimu kufunga shule kwa siku mbili kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.
Makonda amesema hayo leo Jumatatu, Aprili 16 alipokuwa...
Hasa kwa wale wenye private car, usafiri binafsi hakikisha unatembea na dumu na chujio kwa ajili ya usalama wa injini zipo chujio madukani, ukifika kituoni kinga dumu lako kama ni 5Lts haidanganyi...
Leo Dar ni kama imesimama mafuriko kila sehemu, barabara hazipitiki foleni kila sehemu, jangwani kumejaa maji, mabasi ya mwendokasi yamesitisha safari, inasemekana mvua hizi zitaendelea kwa siku...
Gerson Msigwa,
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Ikulu (Rais).
Amekuwa akiandika Taarifa kwa vyombo vya habari (headline), ila kwa uelewa wangu nadhani anakosea. Kwa nini? Kwa sababu anayetaarifiwa...
*Wananchi waoga waliotishwa wakatishika haswa
*Hata uliodhani ni wasomi kumbe ni hopeless kabisa
*Vigeugeu haijalishi ni profesa au doctor baada ya kupata ulaji wamengeuka kabisa
*Thinking...
Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!
MATOKEO
1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06...
Magari yanatanua, vurugu tupu, madereva wa STK, STL, SU pamoja na Dala dala wanavuruga utaratibu, sijui hawa madereva wa SU, STK na STL wanjifunzia wapi udereva? Msipowahi kuna bomu la foleni!!!
Hii ni special kwetu wazee wa barabarani share chochote kuhusu barabara kuu e.g. Kipande kipi cha HIGHWAY kizuri, kibovu, chenye watekaji wengi, wazee wa torch wengi ,sehemu yenye sharp corners...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.