Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP) na Mwanafunzi wa UDSM Abdul Nondo ambayo ilipaswa kusikilizwa mfululuizo leo April 18, 2018 na April 19 imehairishwa mpaka...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hamjambo waungwana! Fursa Nimepata nafasi ya kusikiliza kwa makini kaka yangu Ruge alipokuwa akichambua fursa alizozibaini katika kuzunguka kwake Tanzania nzima – hakika huyu kaka yangu...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru Mungu nilifaulu nilipata Div II ya points 21. Nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya Lugufu mkoani Kigoma lakini...
0 Reactions
2 Replies
837 Views
“Aliapa kuwa lazima afanye kitendo hiki kwa sababu mimi sina faida, namzalia watoto wa kike tu,” ni kauli ya Miriam Jackson, mama wa watoto wanne aliowazaa kwa nyakati tofauti katika kipindi cha...
1 Reactions
39 Replies
5K Views
Hivi siku ile ulipokuwa kinyerezi ulisema umeme kukatika iwe mwanzo na mwisho ikitokea utawafukuza kazi watendaji wa Tanesco. Sasa mbona umeme kila siku unakatika tena kwa mda mrefu, ulikuwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kuuliza kama kuna group la watu wanaotarajiwa kufanya mtihani wa PSPTB mkoa wa Mwanza kwa ajilo ya discussion
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Miaka inayoyoma tangia zoezi ili lisilojulikana mwisho wake lianze, kila hatua tumepitia, hatua ya mwisho tuliambiwa ni ile ya kupiga picha na kuchukuliwa "fingerprint"sijui ndio nini hiyo, lakini...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mtu kuzaliwa na doa jeupe kuna maana yoyote? Ama tatizo kiafya?
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu ningependa kufahamu kuhusu Miaka miwili ya jkt na hizo posho wanazopewa ni kiasi gani mwenye uelewa naomba anisaidie
0 Reactions
26 Replies
9K Views
Wadau, Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar es Salaam zimekuwa tishio kwa makazi ya watu na pia mradi wetu wa mabasi ya haraka. Safari za UDART sasa hivi ni gerezani Muhimbili na Mbezi Morocco...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jana jioni wakati natoka kwenye Mishe zangu, Kwa mbalii mbele yangu nikawaona Traffic wakisimamisha Lori Kubwa!, Sikustuka nikaendelea kusonga Mbele huku nikikaribia Lori Lile na Mahali Waliposima...
46 Reactions
77 Replies
8K Views
Pamekuwa na vitabia humu jf wa kupost matangazo na huduma alafu hawapo siriaz au hawajajiandaa.Mfano 1;Kuna vijana wana post hapa kuwa wanauza vitabu na mapamphuleti ya shule lakini ukiwatafuta na...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Maafisa Utumishi wa Halmashauri ya wilaya ya Kwimba wamesimamishwa kazi kwa kosa la kutosimamia vyema zoezi la uhakiki wa vyeti vya ufaulu wa elimu ya Kidato cha nne, sita na ualimu. “Nimemuagiza...
0 Reactions
16 Replies
6K Views
Habar wanajamvi, nimeamua kuandika uzi huu kwa ajili ya kuwawakilisha watumiaji wengi wa mtandao wa tigo, mara kwa mara nimekuwa nikiwatumia malalamiko yangu kwenye page yao ya facebook lakin cha...
1 Reactions
2 Replies
941 Views
Daraja la Mto Wami unasababisha ajali mara nyingi. Hii inasababishwa na kwamba daraja ni dogo na linahruhsu kupita gari moja. Yaani magari hayawezi kupishana. Tanroad wakilifanya hili, ajali...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Gazeti la Raia Mwema hutoka mara mbili kwa wiki; Jumatatu na Jumatano. Lkn nimeaambiwa na muuza magazeti kuwa Raia Mwema halikuwa mtaani Jumatatu, na leo Jumatano pia halijatoka! ! Sijasikia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kampuni inayotoa huduma katika mradi wa mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam, UDA Rapid Transit (UDART), inaujulisha umma kuwa, huduma za mabasi hayo kwa baadhi ya njia zimesitishwa kuanzia...
5 Reactions
193 Replies
25K Views
Siku zote tuna visingizio vya kushindwa kwetu kujinasua na Umaskini kwanza tulianza kusema Waarabu walituuza Utumwa, ikaja Muzungu alitunyonya na kuiba Rasilimali zetu Muzungu akaenda, tukasema...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Wakuu Katika maisha tunafanya mengi kwa kila mmoja kuamini ni haki yake kufanya afanyavo. Kwa upeo makini wa mwanadamu akaenda mbali kwa kujiwekea miongozo mbalimbali. Akaiita haki na...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Back
Top Bottom