Viwanda vidogo

Viwanda vidogo

mafimboo

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
2,415
Reaction score
978
Serikali imekuwa ikitangaza Sera ya kuanzisha viwanda vidogo ,kimsingi Sera hii haina ukweli na inatia mashaka,Leo nimetoka dar salaam nimefika makao makuu ya nchi na kufika manispaa ya dodoma na kukuta viwanja vya makazi ,biashara na viwanda vidogo vidogo vikiuzwa katika maeneo ya mtumba na kikombo,cha kushangaza square meter 1ya eneo la kujenga kiwanda kidogo inauzwa 20,000/=, wakati vya maeneo ya biashara vikiuzwa 5500/=,inaonyesha serikali haijajiandaa kikamilifu kwenye kuvisaidia viwanda vidogo,mfano wa viwanda vidogo ni kama vyerehani 4,fundi seremala ,fundi welding n.k,hivi mafundi hawa wanaweza kununua square meter moja 20,000/=,wakati kodi ya pango mijini wanapofanya kazi inawatoa jasho ?
 
Hebu nisaidieni labda nimeelewa vibaya.

Kwa hiyo bei uki convert heka 1 itakua shilingi ngapi???
Kwa hesabu zangu nimepata bei ya nyumba.
 
Back
Top Bottom