Mount Taranaki, or Mount Egmont, is an active but quiescent stratovolcano in the Taranaki region on the west coast of New Zealand's North Island.
Although the mountain is more commonly referred...
Simu ninayotumia sio smartphone kusema data olikua on! Kwa kweli inauma pale lijitu linapokuharibia bajeti ya matumizi ya salio la muda wa maongezi!
Sio mara ya kwanza kukuta salio limepungua...
*1.WANAOISHI JANA*
Kuna hili kundi la kwanza la vijana ambao wao wanaishi jana,maisha yao yote wamewekea umakini kwenye mambo yaliyowatokea jana, nilifeli shule, niliachwa,nilianzisha Biashara...
Wasalam wanajukwaa,,,
Nimeona niilete humu pia maana ishakua too much,,,,
Kuna mchezo mbaya mno umeingia Bandarini, mchezo huyo unachezewa na TPA, TRA wakishirikiana na Serikali yenyewe ni hivi...
Baadhi ya barabara zetu hapa nchini hali kama hii ni kawaida sana nakumbuka kipande cha kutoka Mlandizi mpaka Ruvu darajani
Nakumbuka pia ukiwa unaingia mkoa wa Songwe ukiwa unatoka mkoa Mbeya...
Nikolae Ceausescu alikuwa ni Rais wa Romania na Katibu Mkuu wa chama tawala aliyetawala kwa mkono wa chuma.
Kauli yake ilikuwa ni sheria na ole wake aliyethubutu kuukosoa utendaji wake vyombo...
Je malaika ni wanawake ama hawana jinsia?Tunaona pia walipokwenda sodoma na gomora wanaume wa pale walitamani kuwaingilia,je ni kwa nini walikuwa katika umbo linaloleta matamanio kwa watu?
Hili...
Hawa watumishi wa darasa LA saba walioajiriwa kuanzia 20 mei 204 hadi 2017 hawakujiajiri wenyewe ni serikali iliwaajiri na hadi check no wakapewa na isitoshe Raisi alisema mei mosi...
My friend has lost more than Tsh 4 millions after he incurred loss by the broker that was shown to him by Ontario,the broker is known as JPMarkets and is located in South Africa.
Ontario is...
Kuna mvua kubwa sana iliyoanza mida ya saa 10 za usiku huku kanda ya ziwa ikiandamana na upepo mkali na radi bado ingali inaendelea hadi mida hii! Kama ilivyo desturi za safari za huku uanza mida...
Lakini MIMI nawaambieni, Wapendeni adui zenu waombeeni wanaowaudhi... Mathayo 5:44
Hili ni takwa la kiwango cha juu sana cha imani...
Jenga utamaduni wa kuona mazuri katkat ya mabaya ya mtu...
Kuna dhana inajengeka kwa jamii kuwa kuna watau wasiojulikana ndani ya nchi yetu ya Tanzania na ndiyo wanaofanya mambo mabaya kama kuuwa au kuteka watu na kuwatesa
Dhana hii kila kukicha inazidi...
wakuu.
ukiona bado uko nyuma ya teknolojia , jua uko katika giza nene ambalo ni sawa na kua ndani ya boksi wewe mwenyewe ukadhani unajua vitu vingi kumbe hujui kitu.
Hiyo google ni search engine...
Ninaomba msaada wa namba ya help desk ya utumishi wa uma(aji
ra portal) kwani Ninataka kujisajili ajira portal ila kila nikijaribu kujisajili wananiambia watanitumia email ili niweze kuingia...
Nina kaka yangu anatafuta mahali ambapo anaweza kufungua zahanati binafsi huko Dar -es salaam ambapo pana uhitajiwa wa huduma hiyo ? Anataka kujua ili atoe huduma hiyo nisaidieni wadau
Sent using...
Juzi wakati majaji wanaapishwa pale Ikulu tulisikia rais akilalamikia matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.
Rais akaenda mbali zaidi na kusema hadhani kama China kuna gugo au wasapu,akimaanisha...
Habari Wana board..
Nahitaji nyumba ya vyumba viwili maeneo tajwa hapo Juu..
Bajeti yangu ni 80-120 kwa mwezi.
Chumba kimoja kiwe self contained.
Maji Na umeme ni muhim Na lazima.
Ahsante.
Naushauri uongozi wa MANISPAA ya SUMBAWANGA kuanza mchakato wa Ujenzi wa Kituo kikubwa cha MABASI nje ya MJI ili kuupanua MJI wake.Kutokana na Barabara ya kutoka mby/sumbawanga kuwa ktk kiwango...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.