sasa unawaamsha ili iweje. waache waendelee kulalaNajua Wanasheria wapo wengi sana hata wanahabari pia wamejaa, ila kwenye mambo ya Uchumi sijawahi kuona mtu wa chadema akijitokeza kuongelea hali ya Kiuchumi, iwe Bungeni au hata kwenye vyombo vya Habari, sasa kwa nini chadema haina wachumi?