Kuna mjadala mzito unaendelea juu ya video ya 'Monalisa' akipokea tuzo kwa niaba ya Rais Magufuli

tryvenak

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
248
297
Kuna mjadala mzito unaendelea juu ya ile clip ya monalisa akitoa shukran baada ya kutokea tuzo kwa niaba ya mkulu.
Kuna wanaodai kuwa ile clip sio ya ukweli kutokana na mazingira alafu na jinsi mtoa shukran anavyo present shukran zake kwa kusoma kwenye simu
 
Apo ndo anatoa shukran
Screenshot_20180416-110121.jpg
 
JamiiForums is a 'User Generated Content' site; anyone can register (MUST) and comment or start a new topic. You are always welcome!

Sijaelewa JF imeingiajebkwenye hizo tuhuma zako wakati hiyo habari haijatolewa na uongozi au mfanyakazi wa JF.
 
Back
Top Bottom