Duh! Na kula unajitegemea?Hiyo ni ya kwenye maandishi lkn kiuhalisia ni kwamba kuruti wanaishia kupata 30K au 40K (maximum) wakubwa wanazazifyeka ile ile 7bu ya kuruti kuchangia michango mbalimbali ya kijeshi.
Wew sio mzalendo,Vijana wanaojiunga na JKT huwa ni kwa kujitolea,kama unataka kuingia JKT ukizani kuna ajira nakushauri uache,unaanza kufikilia posho ya JKT wakati hata kujiunga bado?we ni hatari sana,haufai kuingia National Service,tafuta kaz nyingn ya kufanya,watu kama wew hawahitajiki kule,Ndugu ningependa kufahamu kuhusu
Miaka miwili ya jkt na hizo posho wanazopewa ni kiasi gani mwenye uelewa naomba anisaidie
Huelewi kwann nauliza bora usingepoteza kbs zako kureply pumba kama huna hoja shut up[emoji55]Wew sio mzalendo,Vijana wanaojiunga na JKT huwa ni kwa kujitolea,kama unataka kuingia JKT ukizani kuna ajira nakushauri uache,unaanza kufikilia posho ya JKT wakati hata kujiunga bado?we ni hatari sana,haufai kuingia National Service,tafuta kaz nyingn ya kufanya,watu kama wew hawahitajiki kule,
Ludi bushi ukalime,huu ni msimu wa kilimo usichelewe,huwez ukauliza posho za JKT wanalipwa sh ngapi unazan JKT kuna ajira?kwa Mimi ninaye jua lazma nikuone mtu wa ajabu sana,wew ni kituko cha mwaka huuHuelewi kwann nauliza bora usingepoteza kbs zako kureply pumba kama huna hoja shut up[emoji55]
Asantenasikia imepandishwa sasa hivi ni 70,000 japo sina uhakika sana
Nashukuru kwakua ufaham wako ndo ulipofikia[emoji40]Ludi bushi ukalime,huu ni msimu wa kilimo usichelewe,huwez ukauliza posho za JKT wanalipwa sh ngapi unazan JKT kuna ajira?kwa Mimi ninaye jua lazma nikuone mtu wa ajabu sana,wew ni kituko cha mwaka huu
GoodHuelewi kwann nauliza bora usingepoteza kbs zako kureply pumba kama huna hoja shut up[emoji55]
hata kama kujitolea,,,haimaanishi ndio nilale njaa au nikose pesa ya matibabu... Fikiria kabla ya kumjibu mtuWew sio mzalendo,Vijana wanaojiunga na JKT huwa ni kwa kujitolea,kama unataka kuingia JKT ukizani kuna ajira nakushauri uache,unaanza kufikilia posho ya JKT wakati hata kujiunga bado?we ni hatari sana,haufai kuingia National Service,tafuta kaz nyingn ya kufanya,watu kama wew hawahitajiki kule,
Nikusaidie tu,JKT posho ni elf 50 kwa sasa,na haiji kwa wakati, inaweza ikapita hata miez 2 haijaja hilo usishangae kwa sabubu ile sio ajira na huna pakulalamika,huwez kuandamana,pale JKT uzalendo uko mbele kuliko hiyo posho,sehemu ya kulala bure,kitanda utapewa bure,mavazi kuanzua Pit short na vest yake ni bure,kombati zao ni bure raba na buti ni bure,chakula utakula bure mpaka utakinai mwenyew,wao kule wanahitaji mwili wako tu wew unabaki na hiyo roho yako,wanakufundisha uzalendo na jinsi ya kujitegemea,kuajiliwa ukiwa JKT hayo ni majaliwa tu (probability).Unaweza ukaajiliwa au usiajiliwe,baada ya miaka 2 mkataba ukiisha unaludi nyumbani,Kama kuna ndugu yako anataka kwenda kule mwambie kabisa ajue hilo,kule unafundishwa jinsi ya kufanya kazi za mikono,Nashukuru kwakua ufaham wako ndo ulipofikia[emoji40]
Msos ni Wa serikali Ndg, hakuna kujitegemea kwa chakula.Duh! Na kula unajitegemea?
Ingekua chakula unajitegemea wengi tusimgeweza maana na lile timbwili lake we acha tu.Msos ni Wa serikali Ndg, hakuna kujitegemea kwa chakula.
Asante sana kaka majibu yako yamekidhi nilichokihitaji maana nilikua naulizia hivyo kwa sababuNikusaidie tu,JKT posho ni elf 50 kwa sasa,na haiji kwa wakati, inaweza ikapita hata miez 2 haijaja hilo usishangae kwa sabubu ile sio ajira na huna pakulalamika,huwez kuandamana,pale JKT uzalendo uko mbele kuliko hiyo posho,sehemu ya kulala bure,kitanda utapewa bure,mavazi kuanzua Pit short na vest yake ni bure,kombati zao ni bure raba na buti ni bure,chakula utakula bure mpaka utakinai mwenyew,wao kule wanahitaji mwili wako tu wew unabaki na hiyo roho yako,wanakufundisha uzalendo na jinsi ya kujitegemea,kuajiliwa ukiwa JKT hayo ni majaliwa tu (probability).Unaweza ukaajiliwa au usiajiliwe,baada ya miaka 2 mkataba ukiisha unaludi nyumbani,Kama kuna ndugu yako anataka kwenda kule mwambie kabisa ajue hilo,kule unafundishwa jinsi ya kufanya kazi za mikono,