Pamekuwa na vitabia humu jf wa kupost matangazo na huduma alafu hawapo siriaz au hawajajiandaa.Mfano
1;Kuna vijana wana post hapa kuwa wanauza vitabu na mapamphuleti ya shule lakini ukiwatafuta na unataka kufanya nao kazi wanakuwa na majibu mabaya au hawajielewi wanachotakiwa kukifanya.
2:Kuna mtu aliwahi kuposti humu kuwa anahitaji watu wa team ya watu wakumkusanyia data kwenye research yake alipotafutwa na kupanga kuonana na wahusika akawa muongo na wakati mwingine hapokei simu.
Kama hujajiandaa tafadhali usiposti ishu yako yoyote ya kibiashara au huduma wakati haupo tayari kukutana na changamoto za wateja wako au kupokea simu