Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Mtu kuzaliwa na doa jeupe kuna maana yoyote? Ama tatizo kiafya?
Tupia picha Kwanza tuoneMtu kuzaliwa na doa jeupe kuna maana yoyote? Ama tatizo kiafya?
Picha tafadhali.Me ninalo mkonon.
doa doa tu jeupe mbwembweJeupe sio jeusi.....!!!???
Kweli mbwembwe....doa doa tu jeupe mbwembwe
Uliungua na mavi ukiwa mdogoMtu kuzaliwa na doa jeupe kuna maana yoyote? Ama tatizo kiafya?
Wewe uliungua!? Mimi au msenye hiyo alama?Uliungua na mavi ukiwa mdogo
yah ni jeupe kabisaJeupe sio jeusi.....!!!???