Wakuu Habari.
Mwenye nakala laini (soft copy) ya kitabu cha mawasiliano serikalini anisaidie please. Hasa ile ya hivi karibuni au namna yoyote naweza pata contacts za ma RAS na DE Tanzania nzima...
Vodacom toka juzi nimegundua kuna test mnayoifanya ila hamsemi kwanini mna test bila ya kutupa taarifa wala kutuomba radhi kwa kinachoendelea, hakuna taarifa yoyote. Kila ifikapo muda wa saa 2.40...
Samahani, ningependa kujua utaratibu wa mtu kuitwa kituo cha polisi
Ipo hivi, leo mida si mirefu, nimepokuta missed call kwenye simu yangu. Nilipopiga, nikauliza mwenzangu nani maana nimekuta...
Mainjinia waliohusika kujenga hapo ni kweli hamkujua kama jambo kama hili linaweza kutokea na kusababisha usumbufu kwa wananchi?
Mnashauri nini kwa mamlaka husika ili hali kama hii isitokee...
Watumishi watatu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Arusha wamehojiwa na kikosi maalumu kutoka mamlaka hiyo makao makuu jijini Dar es salaam kwa tuhuma za kujihusisha na vitendo vya rushwa...
Nasikitika kusema haya lakini ndiyo ukweli.Hawa jamaa wanasoma miaka minne chuo kikuu na mwisho wa siku unaona vidonge vinatengenezwa na Matunge ambaye hajaenda darasa lolote la dawa.Wanakaa...
Habarini wana Jf
.Nahitaji kujua software nzuri na rahisi ya kutengeneza matangazo ya audio/sauti kwaajili ya matangazo yakwenye magari.Pragram gani nzuri inayoweza kunisaidia pia kuweka backsound...
Aisee nchi hii ni ngumu sana. Wanawake wengi wana njaa kali. Always mwanamke hutaka kuwa na pesa wakati wote. Mwanamke hapendi kujitesa.
Kuna mdada naheshimiana nae sana. Ni best friend tu...
Moto uliozuka leo hii katika kiwanda cha Ocean Kiss kilichopo Tabata Bonde la Sukita jijini Dar es Salaam ikiendelea kuwaka na kuzua taharuki kwa wakazi na wafanyakazi wa eneo hilo.
Bado moto huo...
SHILINGI TRILIN 1.5 ZA KITANZANIA
1. Kama una kasi ya kuhesabu shilingi milioni moja kwa dakika moja. Maana yake Shilingi trilioni 1.5 utazihesabu kwa dakika 1,500,000, sawa na masaa 25,000...
Kiwanda cha saruji cha Dangote Mtwara kitaanza kutumia gesi asilia katika uzalishaji wake mwishoni mwa mwezi ujao (May-2018). Maendeleo yanajenga matumaini kuwa mzalishaji mkubwa wa saruji wa nchi...
Ndugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe.
Kuna habari kwamba barabara...
Kwa mambo ninayoyaona hivi sasa, naona tumeamua kupishana na maendeleo. Mipango mingi inafanywa kwa standard ya pwagu na pwaguzi. Waliopewa dhamana ya uongozi wanageuka kuwa wahalifu. Wasomi...
Ukituondoa sisi wahenga ambao tunamfahamu Pascal tangu akiwa RTD pale Pugu road, wengi wamemjua kupitia maandiko yake hapa JF.
Nimeelezwa na rafiki yangu mmoja aliyepo bungeni kuwa siku ya jana...
Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa!
Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje...
Wadau mimi napata tabu kidogo na aina hii ya usafi inayopelekea huduma kufunguliwa saa nne asubuhi.Ukifika mgeni kigoma siku za alhamisi Kigoma kwa kweli unapata shida kama kuna huduma unahitaji...
Kwa sasa ni kawaida kwa muombaji wa kuvutiwa nguzo za umeme kusubiri hadi miezi minne na zaidi baada ya malipo kabla hajaunganishiwa huduma ya umeme.
Watendaji wanasema kwamba ucheleweshaji huu...
Jioni katika matembezi yangu ya kunyoosha miguu kwa maana ya maziezi ; nikafika uwanja wa shule nikaanza kuangalia mpira wa miguu katika uwanja wa huo..
Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya...
Je umeshawahi kijiuliza kwanini unabadilisha picha yako what's up mara kwa mara ?. Kwa wale walijiunga au waliowahi kujiunga na mitando ya kijamii kama vile WhatsApp au Facebook nadhani wengi wenu...
Habari wapendwa!!
kutokana na harakati za kujikomboa, nimefikilia kuwekeza kwenye nyumba za kulala wageni ( Guest House).
lakini imamu pamoja na wadau mbalmbali Wameniambia Eti nikijenga hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.