Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

On JF:

Ndugu zangu, niaandika habari hii kwa uchungu nikiomba, kwa yeyeote atakayeisoma, afikishe habari hizi kwa wahusika ili hatua za haraka za uokozi zichukuliwe. Kuna habari kwamba barabara...
11 Reactions
62 Replies
6K Views
Kwa mambo ninayoyaona hivi sasa, naona tumeamua kupishana na maendeleo. Mipango mingi inafanywa kwa standard ya pwagu na pwaguzi. Waliopewa dhamana ya uongozi wanageuka kuwa wahalifu. Wasomi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukituondoa sisi wahenga ambao tunamfahamu Pascal tangu akiwa RTD pale Pugu road, wengi wamemjua kupitia maandiko yake hapa JF. Nimeelezwa na rafiki yangu mmoja aliyepo bungeni kuwa siku ya jana...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Siku tukija kulifahamu hili basi tutaongeza idadi ya Watalii wanaokuja kutembelea nchi yetu hata mara 5 ya sasa! Tumelelewa na hii imani potofu kwamba Watalii wanakuja kuangalia Wanyama, ingawaje...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Wadau mimi napata tabu kidogo na aina hii ya usafi inayopelekea huduma kufunguliwa saa nne asubuhi.Ukifika mgeni kigoma siku za alhamisi Kigoma kwa kweli unapata shida kama kuna huduma unahitaji...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
Kwa sasa ni kawaida kwa muombaji wa kuvutiwa nguzo za umeme kusubiri hadi miezi minne na zaidi baada ya malipo kabla hajaunganishiwa huduma ya umeme. Watendaji wanasema kwamba ucheleweshaji huu...
2 Reactions
51 Replies
6K Views
Jioni katika matembezi yangu ya kunyoosha miguu kwa maana ya maziezi ; nikafika uwanja wa shule nikaanza kuangalia mpira wa miguu katika uwanja wa huo.. Nilipokaa, Nilimuuliza kijana mmoja juu ya...
3 Reactions
2 Replies
950 Views
Je umeshawahi kijiuliza kwanini unabadilisha picha yako what's up mara kwa mara ?. Kwa wale walijiunga au waliowahi kujiunga na mitando ya kijamii kama vile WhatsApp au Facebook nadhani wengi wenu...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Habari wapendwa!! kutokana na harakati za kujikomboa, nimefikilia kuwekeza kwenye nyumba za kulala wageni ( Guest House). lakini imamu pamoja na wadau mbalmbali Wameniambia Eti nikijenga hiyo...
2 Reactions
57 Replies
11K Views
Polisi wanashikilia passport na simu ya mwanamuziki wa kizazi kipya Naseeb aka Diamond Platnumz kwa ajili ya upelelezi kufuatia tuhuma zinazomkabili. Pia soma >Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto...
2 Reactions
96 Replies
18K Views
Photo: @donnase1 | Instagram Southwest Airlines flight 906 had to deplane this morning at Thurgood Marshall BWI Airport this morning FAA says the flight was on a taxiway when the Boeing 737...
0 Reactions
0 Replies
592 Views
Wadau, Naomba kama kuna viongozi wa serikali watusaidie. Mimi mke wangu alikuwa na tatizo la mimba kuharibika, wenyewe wakiliita incomplete abortion. Nikaenda hospitali ya Buruhani akapatiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Peterson Ngure mkazi wa kijiji cha Kiandegwa nchini Kenya, ameshangaza watu baada ya kugundulika kuwa anaishi na nyoka wanne wenye sumu kali chumbani kwake...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
I am a little bit nostalgic today... Hizi rangi kwa ndege yetu, na maandishi, na twiga vilipendeza bana.. Ngorongoro, Serengeti.. Kilimanjaro... Kwanini wasirudishe rangi ya hizi ndege...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Leo nilikuwa napitapita Kariakoo katika maduka ya movies na series za nje hasa za Kikorea, Hollywood Bollywood, China na hata Nigeria, ila cha ajabu nikakutana na hali ya kushangaza kabisa pale...
7 Reactions
107 Replies
16K Views
nakumbuka baada ya kuhitimu darasa la saba nilichaguliwa kujiunga na sekondar ... kiukweli niipata wakati mgumu sana baada ya kufika siku ya kwanza tu nilibishwa na viboko kama mvua kiukwel...
1 Reactions
1 Replies
752 Views
Habari za muda huu wakuu wa JF, Leo nimekutana na huu wizi ambao si mpya ila umeanza kurudi, vijana umakini unahitajika mnapokuwa safarini hasa mabasi ya mikoani yanayo chukua abiria, Leo...
16 Reactions
57 Replies
7K Views
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa umma na Utawala Bora George Mkuchika amewataka wanaume kuacha kuwazalisha wake zao mara kwa mara ili kulinda afya za wanawake hao. Mkuchika...
0 Reactions
5 Replies
933 Views
Kama sikosei tigo ndio wamiliki wa hisa katika Zantel. Leo kuanzia saa moja hadi saa tatu na nusu usiku hakukua na huduma yoyote katika mitandao hii hapa Zanzibar mjini. Sijui maeneo mengine...
0 Reactions
1 Replies
814 Views
Leo ametembelea London Stock Exchange, Rais Kenyatta yuko Uingereza kuudhuria mkutano wa jumuiya ya Madola
5 Reactions
73 Replies
9K Views
Back
Top Bottom