Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,869
- 2,119
Jana jioni wakati natoka kwenye Mishe zangu, Kwa mbalii mbele yangu nikawaona Traffic wakisimamisha Lori Kubwa!, Sikustuka nikaendelea kusonga Mbele huku nikikaribia Lori Lile na Mahali Waliposima Traffic Wale. Kama Mungu Vile!, Nikiwa nakaribia Lile Lori na wale Maafande!, Ghafla Nikaona Noti ya Tsh 10000 Imerushwa nje kutoka kwenye Dirisha la lile Lori[emoji3] ! lile Lori likaanza Kuondoka!
Kwa Bashasha na nderemo, Nikafurahi Moyoni na Kuanza kuikimbilia Ile Noti Iliyokuwa Imepeperukia Pembezoni kwenye Majani![emoji125] Huku Wale Maafande wakijaribu kuzuga Kwangu kama hawajaona kitu Vile![emoji3], Nikapita na Ile Ten kama Mwewe! fyaaaaa!!!!,
Kuona Hivyo Traffic Mmoja aliyekuwa na Kitambi akasema "We kijana" "Acha!!" "Acha" Unaokota nini![emoji3] Nikazuga kama Sijasikia! Akatoka Speed Kuja Kuniambush,[emoji3] Nami kama kiziwi Vile Nikaongeza Nduki! Pembezoni mwa Barabara huwa na Kokoto, Akaziokota na kutaka kunibonda nazo, Bahati Nzuri ikanipata Moja Tu Mgongoni, Sipati Picha angekuwa na Bunduki