Waziri wa nishati nakuuliza swali moja tu.

Waziri wa nishati nakuuliza swali moja tu.

wanaojulikana

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2017
Posts
576
Reaction score
902
Hivi siku ile ulipokuwa kinyerezi ulisema umeme kukatika iwe mwanzo na mwisho ikitokea utawafukuza kazi watendaji wa Tanesco.

Sasa mbona umeme kila siku unakatika tena kwa mda mrefu, ulikuwa unamanisha nini ulipotoa kauli hiyo?
 
"Tembo hazai chui" huyu bwana ni ndugu yake JIWE, na kama JIWE amebobea kwa uongo unategemea huyo KALEMANK akuambie ukweli?
 
Tatizo jiwe anapenda kusifiwa sana mbona wenzie walikuwa poa tu na mambo yalisonga
 
Awamu hii inavituko mno, kila mtu akilala akiamka anaongea anchojisikia kama watoto wa chekechea, matamko kila siku utekelezaji sifuri halafu wanataka kusifiwa.
 
Back
Top Bottom